Tishio kwa kampuni za simu: WhatsApp voice

Tishio kwa kampuni za simu: WhatsApp voice

churaxzbt8

1. whatsapp haina access ya system file bali user files, unaposema system files unamaanisha vitu kama programs data na mafile ya operating system vitu hivi ndio vinahitaji super user access kama umeroot.

Sasa bila kuwa na acess na user file utatumaje na kupokea picha? kuna program kibao ambazo zina snoop na kuangalia mafile yanayotoka na kuingia ingekuwa whatsapp wanaiba media ingeshagundulika zamani tu.

Waulize xiaomi na micromax walidakwaje na kama wao wamedakwa ni oem watashindwa kudakwa whatsapp ambao hata os hawana?

B. Registration inafanyika kichinichini kwa kutumia sms za kawaida.
inafanyikaje? wanapiga ramli kujua wewe unaitwa juma au asha, age yako, gender na data nyengine?

C. Ina-access na microphone pamoja na camera ya simu. Fuctionality ya kutuma voice message.
Hivyo kama wewe ni gaidi na unatumia whasapp. Guantanamobay inakusubili coz jamaa wanakusikiliza na kukucheki kipindi ukiwa online unachart.
yap inayo ndio na kazi yake inajulikana, so unategemea huyo gaidi atumie voice message ya whatsapp? hebu tupe njia basi ambayo whatsapp wangetumia kutuma sauti toka kwa mmoja hadi mwengine ambayo ni safe

D. Whatsapp inatengeneza services kwenye simu yako ambazo zimekuwa programmed kujirestart pale unapozifunga. Thats y inauwezo wa kuoperate ikiwa background
kuwa background sio issue as long as haifanyi kile isichotakiwa kufanya kama una ushahidi tupe

E. Whatsapp sio safe kama unavyofikiria
tuambie ambayo ipo safe kushinda whatsapp huenda tukahama
 
Last edited by a moderator:
Naona wengi mnasema hii kitu ipo apps zengine, yote hayo ni kweli lakini ubovu wa apps daima ni kuwa wote wawili lazima muwe nazo ili kuweza kuongea.

Sasa WhatsApp wana ACTiVE monthly users millioni 700! Wote hawa ni wa mobile. Hakuna network yenye reach kama hii. Kampuni za simu lazima zijipange hapa, najua kwa nchi zetu ambazo sheria ni legelege watablock au kuipunguza quality hii mitandao.

Lakini nchi nyingi hawaruhusiwi kubagua data inayopita kwenye network yao.

Na pia ushindani ni mkali sana TZ natumaini hata mmoja akibana mwingine atatumia fursa kupata wateja.

Bundle ndio itabidi tununue lakini bundle ya 1GB ya 1000 voda unaweza kuongea mpaka ulimi udondoke kwenye voip, na hii ni kwa nchi zote hakuna cha international call!!
 
kwe uwezo mkubwa wa facebook hawa jamaa wana uwezo mkubwa tu kuleta high quality voice calls, mitandao itabidi itafute njia nyingine ya kubana, sooner or later internet ilikua itake over hizi analog communications,

that time is now... no more paying for sms or calls, MB10 peke yake inatosha 1hr video call na txts buku kabisa.... tatizo ni watu walio nyuma ya technology ambao bado hata internet hawajawahi tumia

Analogy communication haiepukiki. Kwanza asilimia chache sana ya watu wanatumia smartphones, na hata hao wenye hizo smartphones sio wote wanatumia hizo IM. Pia kuna baadhi ya communications huwezi tumia IM kama mawasiliano ya kiofisi.

Pia sio sehemu zote Tanzania zina mtandao wa Internet, kwahyo hadi huo mtandao ufike, wamiliki hizo smartphones sio leo.
 
Eng Kang

kuna uwezekano wa "ku-categories" digitali? Maana kwamba "00110011" ni sauti na "00011100" ni text?

Mbona hata muvi ni 010101 tu. Tofauti inakuja jinsi zinavyokuwa encoded na decoded. Text ni ASCII, Unicode, sauti kuna mp3, oog, aac, video kuna mp4 etc
 
Last edited by a moderator:
1.message zako zinakaa kwenye simu na si server zao
2.hufanyi registration hivyo hawajui
-email yako
-jinsia yako
-umri
-jina lako

Badala yake unatumia namba tu hivyo hujui identity ya mtu.

whatsapp ni safe sana huwezi compare na mitandao kama skype, viber, wechat na wengineo

ndio maana nchi nyingi wanaban im nyengine ila whatsapp haiwi banned

Mkuu naona kama unawapamba sana

1. Server za whatsapp zinahifadhi data zako kwa muda fulani thats whya nikikutumia msg na nikazima simu yangu na wewe ukiwasha kesho utaipata

2. Email na mengine yote unaweza kuandika ya uongo but not your mobile no, ambayo ndio inatumika kujisahili

Mi nadhani huu u safe wa hizi apps unategemea na mambo mengi ikiwemo mitazamo ya watu.
 
Mkuu naona kama unawapamba sana
1. Server za whatSapp zinahifadhi data zako kwa muda fulani thats whya nikikutumia msg na nikazima simu yangu na wewe ukiwasha kesho utaipata

2. Email na mengine yote unaweza kuandika ya uongo but not your mobile no, ambayo ndio inatumika kujisahili

Mi nadhani huu u safe wa hizi apps unategemea na mambo mengi ikiwemo mitazamo ya watu

yap kwa mwezi 1 wanahifadhi, ila huwezi compare na wengine ambao wana manyumba ya server kwa ajili ya kuhifadhi data zako utafikiri wao ni baba zetu

hata namba ya simu unaweza andika ya uongo kaka, zipo virtual namba kama vile zilivyo email fake na ipo thread humu jukwaani inayofundisha kupata namba ya marekani ya whatsaap.

sisemi kuwa whatsapp ni safe 100% hasa vile inavyomilikiwa na facebook lakini atleast ina afadhali compare na service kama za google, qq, na wengine wasio na majina

article-2219188-158CE597000005DC-42_964x507.jpg

tumejazwa humo ndani watu wanajua kila kitu chako
 
Hakuna mtandao unatumiwa na watu kama whatsapp.
 
Hapo tishio lipo wapi mkuu?

kwani unapotumia whatsapp unadhani unatunia bure?

jaribu kuwa na simu au kompyuta isiyo na internet uone kama utapata mawasiliano hayo ya whatsapp...

Mkuu kiufundi ni vigumu kutofautisha Bytes/word zinazobeba text na Bytes zinazo beba sauti/Voice, whatsapp wakienda mahakamani ni rahisi sana kushinda kesi kampuni za simu ambazo zinaweza kula njama kuifungia, labda Serikali zetu za kiswahili ndizo zinaweza kulazimisha mambo kwa kuhofia Kampuni za simu.
 
Mkuu kiufundi ni vigumu kutofautisha Bytes/word zinazobeba text na Bytes zinazo beba sauti/Voice

Kinachomatter mkuu ni ile protocol inayotumika. Mfano VoIP - Voice over internet protocol....internet calls mostly zinatumia protocol hii, na hivyo connection zote za VoIP zinaweza kutambuliwa na ISP.

Mfano, kuna kipindi tigo walikuwa na bundle linaloruhusu kusurf websites tu na sio kudownload. Wanafilter tu ile connection on the basis of the protocol, unapobrowse unatumia HTTP(S) na connection inaruhusiwa, ila file download ni FTP na connection inazuiwa.
 
Mkuu kiufundi ni vigumu kutofautisha Bytes/word zinazobeba text na Bytes zinazo beba sauti/Voice...

Hakuna ugumu wowote...kimsingi ni rahisi kama kutofautisha sauti ya mwanaume na mwanamke...

Ingekuwa ni ngumu basi hata charging na billing isingewezekana...

Routing pia ingekuwa ni ngumu na mambo mengine kibao...
 
Whats the difference btn fiber n whtsapp?

fiber umemaanisha viber?

Zipo nyingi tu, na kubwa zaidi ni privacy. Ukiwa na whatsapp hakuna mtu atakaejua kama unayo hadi mtu awe na namba yako. yenyewe viber mtu akifungua account yeyote aliewahi kuwa na namba yako na viber ikajua basi atatumiwa sms kuwa fulani sasa hivi yupo viber,

Pia whatsapp inatumika kwenye kifaa kimoja tu kila namba kama una simu mbili basi unatakiwa uwe na whatsapp mbili pia huwezi tumia account moja ya whatsapp kwenye simu zote mbili wakati viber inaruhusu kuwa na account moja simu nyingi.

Tatizo hapa linakuja ikiwa umeuza simu au kupoteza ikiwa na viber mtu anaweza kukuchungulia kila unachofanya.

Pia app zenyewe zilivyo whatsapp ipo simple na ina vitu vichache muhimu hivyo kuifanya kama sms za kawaida za simu na kuwa stable, yenyewe viber ina makorokoro mengi na ni nzito hivyo inakuwa ngumu kwake kureplace sms za kawaida.
 
Hakuna ugumu wowote...kimsingi ni rahisi kama kutofautisha sauti ya mwanaume na mwanamke...

Ingekuwa ni ngumu basi hata charging na billing isingewezekana...

Routing pia ingekuwa ni ngumu na mambo mengine kibao...

Mkuu naomba ujaribu ku-revist jibu langu, mimi nilikuwa nazungumzia mambo ya legal implications za Serikali au makampuni ya simu wakijaribu kufungia VoIP services za WhatsApp na wengine, sasa mambo ya Billing na Routing yanakujaje hapa.
 
Kinachomatter mkuu ni ile protocol inayotumika. Mfano VoIP - Voice over internet protocol....internet calls mostly zinatumia protocol hii, na hivyo connection zote za VoIP zinaweza kutambuliwa na ISP.

Mfano, kuna kipindi tigo walikuwa na bundle linaloruhusu kusurf websites tu na sio kudownload. Wanafilter tu ile connection on the basis of the protocol, unapobrowse unatumia HTTP(S) na connection inaruhusiwa, ila file download ni FTP na connection inazuiwa.

Sio kila download inatumia ftp website nyngi tuna download na http
 
Kwe uwezo mkubwa wa facebook hawa jamaa wana uwezo mkubwa tu kuleta high quality voice calls, mitandao itabidi itafute njia nyingine ya kubana, sooner or later internet ilikua itake over hizi analog communications, that time is now...

No more paying for sms or calls, MB10 peke yake inatosha 1hr video call na txts buku kabisa.... tatizo ni watu walio nyuma ya technology ambao bado hata internet hawajawahi tumia

Latest! Voda na Tigo wameshusha MB kwenye bundle zao za 500-1000. Sasa unapata MB 8 tuuuu.
 
Back
Top Bottom