Tishio kwa kampuni za simu: WhatsApp voice

Tishio kwa kampuni za simu: WhatsApp voice

Mb 8 zitatosha kupiga simu kwa whatsapp jamani?

8MB zinatosha sana tu, sema watanzania muda mwingine inabidi muwe wakali kupinga kuendeshwa na makampuni ovyo, haiwezekani wapunguze data kwa 90% huku hamna gharama zozote za maisha wala vifaa zilizopanda,

yani hio bei wamejiamulia tu afu mmekaa mnawaangalia... Ilitakiwa TCRA iweke limit ya bei na bundle kabisa na makampuni yote yafate, hapa ndo naonawabongo kazi hawajui kama TCRA wanafanya nini sasa cha msingi kama jambo ka hili wanaliangalia!
 
Hii ina maana kuwa baada ya whatsapp kuja na hiyo voice call voda na tigo wamepandisha gharama za MB HA HA HA HA NI yale yale tu
 
yap kwa mwezi 1 wanahifadhi, ila huwezi compare na wengine ambao wana manyumba ya server kwa ajili ya kuhifadhi data zako utafikiri wao ni baba zetu
You cannot be sure of anything, unless you have worked for Whatsapp. Wanaweza wakawa wanatunza ila haiko visible katika application.

Invisible and Deleted are not synonyms!
 
Huu ni mwanzo mzuri sana Kwa kuipatia mwanya TTCL kurudi kwa kasi.Wata tumia vema nafasi hiyo kwa kuwa NA wa teja wengi ambao Wata kwepa gharama za internets kupitia TTCL kwani gharama zitakuws chini.
 
You cannot be sure of anything, unless you have worked for Whatsapp. Wanaweza wakawa wanatunza ila haiko visible katika application.

Invisible and Deleted are not synonyms!

I always thought of this....its frightening. Every single communication yako ya whatsapp ipo stored.....Anyway, services nyingi zinatunza hivyo sitoshangaa ikiwa na hawa jamaa nao wanatunza communications.
 
Chief-Mkwawa

Whatsapp inafuctionality zifuatazo ambazo zinatia mashaka kwa programmer kama mimi.

A. Ina-access ya file system ya simu yako bila kutumia super user permissions hivyo inauwezo wa kudownload picha na videoz kish kutunza kwenye simu yako .mfano video na picha za kundi. Fuctionality hii inaweza kutumiwa vibaya kuangalia file system yako na kudownload picha na video files ulizotunza kwenye simu yako .

B. Registration inafanyika kichinichini kwa kutumia sms za kawaida.

C. Ina-access na microphone pamoja na camera ya simu. Fuctionality ya kutuma voice message.
Hivyo kama wewe ni gaidi na unatumia whasapp. Guantanamobay 🙂 inakusubili coz jamaa wanakusikiliza na kukucheki kipindi ukiwa online unachart.

D. Whatsapp inatengeneza services kwenye simu yako ambazo zimekuwa programmed kujirestart pale unapozifunga. Thats y inauwezo wa kuoperate ikiwa background

E. Whatsapp sio safe kama unavyofikiria
Ila wakati unainstall si iliomba permission ukaipa mwenyewe? If you don't to risk then just quit ha ha ha
 
Back
Top Bottom