tipi za kumridhisha mwenzio hizi hapa...

gurumeti

Member
Sep 19, 2012
40
2
watu wengi wanakurupuka ktk mapenzi, wanapohisi sex huwavamia wapenzi wao bila kuwaandaa! matokeo yake huishia kuwaboa wapenzi badala ya kuwafanya wafurahie.
1.mwandae mpenzi wako siku mbili au moja kabla ikiwezekana mwambie ajue kabisa!
2.hakikisha(me) hukojoi kabla yake(ke)
3.baada ya goli la kwanza relux, lete story kisha endeleza....
4.mabao mengi hayamridhishi mpenzi wako (recomended goals is 1-3 or 4.
 
Hapo sijaona point hata moja inayohusu watu wa ndoa, point 1-4 zote ni za wazinzi na waasherati!
 
Inaonekana ni kiasi gani hauna uzoefu katika hili.
 
Hapo sijaona point hata moja inayohusu watu wa ndoa, point 1-4 zote ni za wazinzi na waasherati!

Wa ndoa wanafanyaje? wanaweka kwenye pua? Nadhani imekaa vizuri ni kuiboresha tu. There is sense. hata mke unaweza kumwambia kuwa kesho naomba unipe kitu. Ni kumtamanisha ndio essense ya kumwambia kabla! Ndio maana ukisafiri for a week or so, kama kuna maelewano ukirudi kunakuwa na matamanio ya mwenzio.
 
Nimekuja mbio kumbe hakuna lolote mwenzangu mbona sikioni kinachovutia hapo yote ya kawaida? halafu 1-4 kwani nakimbia au kaniiba si wake sasa rush yanini? mambo pole pole na hana haja yakunambia siku mbili au moja kabla mie na yeye dam dam kama wakti muafaka ndio tunaburudika hakuna appointment mie na yeye..........
 
Hahahahaaaa! TEACHINGS OF THE OLDEST PROFESSION NEVER ENDS IN JF!!!!! And i got to read each and every one!!! Kila mwalimu na angle yake!!! Nikigraduate nitakuwa UNTOUCHABLE!!!!!! Mi naanzia ya 1 kwa kuchukua msisitizo wa CHAUKACHARA. jioni ya leo, ngoja nimtext mtu kabisaa manake tulikuwa na ugomvi!!! Namalizia na kibwagizo changu kipya NANI KANUNA?????!!!!!
 
watu wengi wanakurupuka ktk mapenzi, wanapohisi sex huwavamia wapenzi wao bila kuwaandaa! matokeo yake huishia kuwaboa wapenzi badala ya kuwafanya wafurahie.
1.mwandae mpenzi wako siku mbili au moja kabla ikiwezekana mwambie ajue kabisa!
2.hakikisha(me) hukojoi kabla yake(ke)
3.baada ya goli la kwanza relux, lete story kisha endeleza....
4.mabao mengi hayamridhishi mpenzi wako (recomended goals is 1-3 or 4.
sijaona kitu hapa
 
unasema magoli mengi hayamridhishi mpenzi halafu unataja manne ukosiriazi kaka,goli nne kwani ni ubwabwa huo.hata hivyo shukrani kwa somo zuri.
 
Umuandae Siku 2 kabla? Hiyo Imekuwaje project? Acha upuuzi bwana! Hakuna point hata Moja hapo!

P

Back
Top Bottom