Mbona macho? Hata mimi zamani nilimpeleka mwenzangu airport ila wewe mhu?Tembelea mada maalum ya watoto kwa mengi zaidi
Marahaba, wewe sijuhi kwanini hulali au umetoka meditation? Mimi saa 10 ilibidi lakini wewe vipi. Mimi kumekucha kidogo sasa.[emoji23] [emoji3] shikamoo dada
Huwa unaingia saa ngapi? Mwenzio huwa anaingia saa 11 leo hapana ilibidi nimdindikize saa 10.30 Asubuhi siogopi kuendesha.Ndio nataka kuingia meditation nikasema nipitie JF kidogo
Kuanzia kesho hapa ni sikukuu ya kuanza mwisho wa mvua na mwezi mpevu.3:-4:00 ila naona nimeshaghairi leo
I have three kridsHahahaaa unaweza kupata kisukari hivi hivi.
Honorable speaker I have decided to withdrawal my name from contesting
Iam Rose Mwalusamba from KAFU mbeya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
My daily bread[emoji23] [emoji23]