- Thread starter
- #61
Game inaendelea dk ya 82leo sangapi na uganda?
Game inaendelea dk ya 82leo sangapi na uganda?
Watu wapo busy na simba, mbona tumeshinda 1-0Ukiona kimya ujue wabongo wamepigwa
Mechi imemalizika ama?Watu wapo busy na simba, mbona tumeshinda 1-0
Ni kweli wanacheza vizuri ila hawana mizigo kama wale wa Zanzibar