Timu ya Pamba kesho kuchinja ng'ombe 25 uwanja wa Nyamagana kusherekea kupanda ligi kuu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,495
20,510
Ng'ombe tayari wamenunuliwa wake Mecco nyumbani kwa Khalid Bitebo wakichungwa mara ya mwishomwisho.
Kesho asbh na mapema watu wanaanza na supu then dude lenyewe mida ya mchana.
Kiingilio ni uzi mpya wa pamba.
Mchango wa ng'ombe ulikuwa kama ifuatavyo.
Jamukaya - 10.
Jiji -5
Kotecha-2
Gachuma -3
Uongozi Pamba -2
Mashabiki wanachama - 3 .

Benchinka funga mkanda.
 
araKiingilio ni uzi mpya wa pamba.
Mchango wa ng'ombe ulikuwa kama ifuatavyo.
Jamukaya - 10.
Jiji -5
Kotecha-2
Gachuma -3
Uongozi Pamba -2
Mashabiki wanachama - 3 .

Benchinka funga mkanda.
Ni tambiko au kafara mnalotaka kufanya?
 
Sasa Timu Yenyewe Inapanda Leo Sherehe, Ikishuka Kesho Kama Ifanyavyo Itakuwa Sherehe
 
Hiyo timu itashuka tu kama zilivyoshuka Toto Afrika, Alliance, na Mbao. Nyinyi Wasukuma hamna tofauti na Watanzania wa Mikoa ya Iringa, Kigoma, Arusha, Kilimanjaro Rukwa, nk.
 
Ng'ombe tayari wamenunuliwa wake Mecco nyumbani kwa Khalid Bitebo wakichungwa mara ya mwishomwisho.
Kesho asbh na mapema watu wanaanza na supu then dude lenyewe mida ya mchana.
Kiingilio ni uzi mpya wa pamba.
Mchango wa ng'ombe ulikuwa kama ifuatavyo.
Jamukaya - 10.
Jiji -5
Kotecha-2
Gachuma -3
Uongozi Pamba -2
Mashabiki wanachama - 3 .

Benchinka funga mkanda.
wakaze sio waje kumletea yanga point za ubingwa msimu ujao!
 
Ng'ombe tayari wamenunuliwa wake Mecco nyumbani kwa Khalid Bitebo wakichungwa mara ya mwishomwisho.
Kesho asbh na mapema watu wanaanza na supu then dude lenyewe mida ya mchana.
Kiingilio ni uzi mpya wa pamba.
Mchango wa ng'ombe ulikuwa kama ifuatavyo.
Jamukaya - 10.
Jiji -5
Kotecha-2
Gachuma -3
Uongozi Pamba -2
Mashabiki wanachama - 3 .

Benchinka funga mkanda.
Ushirikina tu
 
Jamukaya ni don mkubwa Kanda ya ziwa, na Kuna mstaafu ana hisa zake pale, aisee kuna watu waliwekeza Kila Kona sijui waliahidiwa kuishi milele
 
Ng'ombe tayari wamenunuliwa wake Mecco nyumbani kwa Khalid Bitebo wakichungwa mara ya mwishomwisho.
Kesho asbh na mapema watu wanaanza na supu then dude lenyewe mida ya mchana.
Kiingilio ni uzi mpya wa pamba.
Mchango wa ng'ombe ulikuwa kama ifuatavyo.
Jamukaya - 10.
Jiji -5
Kotecha-2
Gachuma -3
Uongozi Pamba -2
Mashabiki wanachama - 3 .

Benchinka funga mkanda.
Ma home boy wamelejea tena kunako NBC premium league piga kelele MWANZA mwanzaaaaaa
 
Back
Top Bottom