tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,995
- 25,388
Huyu ana shughuli mahsusi, maalumu na nyeti mbali na kampeni zao hizo!
kiburudisho?
Huyu ana shughuli mahsusi, maalumu na nyeti mbali na kampeni zao hizo!
Kwanini tunaendelea kujadili watu badala yakujadili ''issue''. Watu wenye rekodi chafu leo hii wanaonekana ndio mashujaa. Ama kweli TZ ilikufa na mwl.
Hilo swali gumu brother .hawezi jibu huyokwann gazeti la uhuru na redio uhuru alitak kumsikia lowassa?....
pia usisahau na radio clouds.
Bora tumchague fisadi aliyetuibia na akawekeza hapa kuliko mafisadi waliotuibia na hatujui wamewekeza wapi hela zetu!hii nchi hatuwezi mpa fisadi.ni heri tumchague hata DOVUTWA.
Asante sana kwakunitoa mchanga machoni!(kumbuka watu wa kigoma hawabadiliki na ni viburi sana)...
Ngoja nifanye utafiti wangu wa kina kuhusu watu wanaotoka mitaa ya ILALA!aliwai kusema ndani ya NEC kuwa hakuna mwanamume katika ndani ya ccm zaidi ya Lowassa huku mkulu alikuwa ndani ya hicho kikao.....ni jembe la jembe na zaidi ya yote ni mtoto wa ilala....
Daa napita,sielewi unamsupport mamnvi au unamharibia.Nini uadilifu wa members wa hiyo timu?Ntarudi baadaye!
Mama Salma and Membe at work.......hahahahahahahahaha