Leo naomba tufanye uchambuzi wa timu ya kampeni ya bwana Edward Lowassa..... kwa hakika mpaka sasa yeye ndiye anaongoza kwa kuwa na nguvu ndani ya CCM, anaongoza kwa kujipanga zaidi na vizuri, anaongoza katika mikakati mizuri sana, anaongoza kwa kushika media zote kasoro Uhuru na magazeti ya serikali na hata katika kura za maoni Lowassa ndio kinara (REDET august 2014 report, ITV survey july data).
9. Wanndishi wa habari
hili ni group muhimu sana wakiongozwa na Kibanda, Msaki, Pasco, Bakari na kwa sasa bbc iliyoanzishwa hapa nchini.
..........
Mkuu Ocampo 4, kwanza asante kwa kuutambua mchango wangu kwa huyu "jamaa yetu" hadi kuniweka kwenye team EL,
Uongo ukisemwa sana na kuendelea kuachwa bila kukanusha, huonekana ndio ukweli!. Pasco wa JF, kwanza sio mwanachama wa chama chochote cha siasa! hivyo siko kwenye timu yoyote ya kampeni ya yeyote, japo nakiri kuwa miongoni mwa watu wa kwanza sio kushabikia huyu jamaa, bali kuchagiza CCM imsimamishe, ili kuitumia candidature yake kama "pace maker' wa kutupatia ukombozi wa pili wa Mtanzania, ila baadae nikagundua kumbe hata hao wakombozi tuliowategemea kutulea huo ukombozi wa pili wa kweli wa Mtanzania, sii wakombozi chochote, sii wakombozi lolote, labda tuu kubadili majina ya chama tawala!, na ndipo nilipoamua kutumie ile formular ya "if you can't beat them, join them!" That is all!, hivyo support ysangu kwa huyu jamaa ni ndani ya jf tuu!, japo wengi wa massuporter wake ni rafiki zangu, I'm very independent!.
Pili Pasco wa JF as a journalist, ni mwandishi wa kujitegemea kwa kujitolea, siandikii media yoyote, wala simripotii yoyote chochote!, sijawahi kiualikwa Monduli au kuhudhuria press conference au event yoyote ya huyu jamaa, hata zile harambee zake!, sijawahi!. Powers ya waandishi wa habari lies on the media!, mwandishi yoyote wa habari no matter how good s/he might be, bila kuwa na media, s/he is nothing!. Pasco wa jf ni nothing bila media, unless use me na jf ni media!, then yes!.
Mimi Pasco wa jf, sijawahi kutia mfukoni hata senti 5 ya huyu jamaa, ingawa nakiri kusaidiwa sana na yeye in deeds nilipopataga matatizo fulani nje ya nchi!.
Asante.
Pasco