Chechetuka
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 549
- 44
Umesifia sana kuwa kundi lenu lina nguvu ya kifedha. Nakukumbusha uyanukuu maneno ya marehemu Baba wa Taifa, Mwl. Julius Kambarage Nyerere alisema nini juu ya wagombea wanaotaka kuingia Ikulu kwa kuhonga pesa.
Pia utafakari kwanini Edward Lowassa alijiuzuru nafasi yake ya Uwaziri Mkuu? Ni uchaguzi upi Bashe aliishawahi kushinda hata leo hii ukataka kututhibitishia kuwa hashindwi kwa kila jambo analolitaka? Hivi unaona ni sahihi kwa Mzee Apson kuingia ktk siasa kupitia timu uliyoitaja? Karamagi yupo wapi leo hii?
Unaamini kuwa Peter Serukamba yupo sawa sawa jimboni kwake? Unajua Sophia Simba alipataje nafasi anazoshikilia? Rostam yupo wapi ktk medani za siasa nchini? Kwa kuwa hujui siasa ndio manna unasema kuwa JK hana nguvu ya ushawishi, subiri uone wakati utakapofika, na kwa tathmini hii naimani vijana wake watampelekea, na siku mona atatuonesha nguvu alizonazo.
Kama mulidhani kumuandika ktk magazeti Pinda ni kumbomoa, basi ile taarifa iliyotoka juzi imemjenga sana. Mujitahidi kufikiria kabla hamjafanya, na sio kufanya kwanza halafu ndio mufikirie.