Timu ya kampeni ya Lowassa hii hapa

Timu ya kampeni ya Lowassa hii hapa

Wahindi muwaogope kama ukoma; fedha zote wanahamisha wanatuacha na ufukara wetu, achaneni nao kwani wanatufanya wananchi wote ni mazuzu!!
 
Nilisema huyu mgole akiwa rais ntatembea uchi kuanzia nyanguge mpaka lugeye kufuata barabara mchana kweupe

Daaa. Umenikumbusha mbali ndugu yangu nilikuwa nasafari ya Musoma tukaharibikiwa na gari usiku. Tukauliza wenyejihapa ni wapi wakatwambia ni Lugeye. Safi sanaaaaa
 
Mbona wote wachafu tu hapo! Kama anadhani pesa ndo itamuweka madarakani ajaribu aone mziki wake! Tumejipanga wale watakao tetea maoni ya wananchi watapita kiulaini sana 2015!
 
Daaa. Umenikumbusha mbali ndugu yangu nilikuwa nasafari ya Musoma tukaharibikiwa na gari usiku. Tukauliza wenyejihapa ni wapi wakatwambia ni Lugeye. Safi sanaaaaa

Karibu sana kwetu. Nimeahidi huyu tibaijuka akiwa rais natembea uchi kutoka nyanguge mpaka lugeye
 
Eti Bashe ........Duhhh........haya .......Lowassa anajifaragua tuu ....angekuwa na akili angemzuia Sitta kuendelea na Bunge la katiba kimkakati , ila hana hizo nguvu mnazomjengea .......ni dhaifu na hana strategy yoyote ya maana ......
 
[/LIST]
Mkuu Dusu, asante, ila number 1 hapo juu ni kweli, nimekanusha na kusema hiyo ni timu ya uongo!.
Namba 2 sii kweli kuwa nimejitoa, as if niliwahi kuwepo sasa ndio nimejitoa, sijawahi kuwepo timu yoyote!.

Asante.

Pasco.

Asante Kaka. Samahani na Nashukuru kwa ufafanuzi
 
[/LIST]
Mkuu Dusu, asante, ila number 1 hapo juu ni kweli, nimekanusha na kusema hiyo ni timu ya uongo!.
Namba 2 sii kweli kuwa nimejitoa, as if niliwahi kuwepo sasa ndio nimejitoa, sijawahi kuwepo timu yoyote!.

Asante.

Pasco.

Asante mkuu kwa ufafanuzi na samahani kwa namba 2
 
...huyo serukamba kuna hadithi ililetwaga humu jf na hutaki unaacha ikijuza jukwaa kuhusu uhusiano wake na EL...kwamba si wa kukutana barabarani bali chumbani pale dodoma hotel......nchi hii imefanywa uwanja wa kuchezea picha....
 
Kwanini tunaendelea kujadili watu badala yakujadili ''issue''. Watu wenye rekodi chafu leo hii wanaonekana ndio mashujaa. Ama kweli TZ ilikufa na mwl.
 
timu nzima imejaa madoa ya ufisadi wa nchi hawapaswi kupewa nchi JK na Kinana na kamati kuu yote wangefanya alichofanya Nyerere 1995 hata kwa ubabe kina EL wasipite bali wamteue mtu mwingine
 
Back
Top Bottom