Namba 5,6 na 7 sijakuelewa. Mnakusanya hela za nini,urais ni wa kununuliwa? Baadaye mtazirudishaje?Ikulu kuna biashara gani? Kila mtanzania/ kila mpiga kura mmekadiria kiadi gani? Wewe ocampo four uko namba ngapi?
Last edited by a moderator: