Timu ya kampeni ya Lowassa hii hapa

Lowassa mmeru mwenzangu atoshaaaaaaa


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
watanzania wengi wanamuhitaji prof. anna tibaijuka ndiye awe rais 2015 na sio vinginevyo
 
Lowassa mmeru mwenzangu atoshaaaaaaa


Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
lowas alishalikataa kabila lake la umeru anadai yeye ni mmasai kwaiyo unajpendekeza? na wanyaturu wanasema lowassa ni mnyaturu so hana kabila huyu
 
We are beyond 'Team Lowassa'. Tunatafuta Rais wa Tano wa Tanzania, mwenye sifa na uwezo wa kutuondoa katika mkwamo tuliomo sasa. Tunachelea kujadili watu kwa sasa, bado tunaendelea kutafuta sifa za mgombea urais mwenye sifa stahiki badala ya wanasiasa wa kuchongwa.

Kosa letu kubwa ni kukataa kwetu kumkataa Lowassa kama tulivyotakiwa kufanya kwa miaka mingi sasa na maadui wa mwanasiasa huyo. Sasa tunakataa tena kuchaguliwa mtu wa kumuunga mkono kwa ajili ya urais wa mwaka 2015. Hatutaki kurejea tena makosa ya nyuma.
 

Mbona hou ni ujanja mkuu.



 
naona lowasa anawatoa roho watu, poleni sana, ila nashangaa kuna watu wapo ccm wanasema jamaa fisadi, wakati chama chao kimejaza mafisadi na ndio wanawategemea hao katika kuwalipa kushinda jf, kukimbizana mikoani kuwashawishi makatibu wakuu. hakuna aliye msafi ndani ya ccm. ila poleni sana wale mnaoteswa na homa ya lowasa.
 
kiuhaliasia ccm hakuna anayefaakuwa rais wa tanzania kwasasa bila unafiki wala upendeleo hakuna kwasasa, wanachojaribu kufanya sasa ni kupima upepo wa wananchi wanawachukuliaje wanaojitangaza kwasasa.
 
Umesahau asilimia kubwa ya wapinzani na viongozi wao,hakika mheshimiwa ni chaguo la wengi japo wachache lumumba wanaweka roho mbaya,timu pekee ya ushindi inayokubalika upinzani na chama tawala..2015 naona mbali,nna hamu ya kumwona magogoni pale
 
Kama CCM inataka itawale 2015 bila shida basi impitishe Lowasa hata mie nitarudi nchini kupiga kura just for Lowasa.
Hata CDM viongozi wake wanamkubali sana huyu jamaa
 
Lowasa oyeeeee!,huyu jamaa kwa kifupi anafaa sana,msipende kuendeshwa na double shooting ya wajanja kina Jk
 
  1. Pasco kakukana.
  2. Pasco kajitoa.
Mkuu Dusu, asante, ila number 1 hapo juu ni kweli, nimekanusha na kusema hiyo ni timu ya uongo!.
Namba 2 sii kweli kuwa nimejitoa, as if niliwahi kuwepo sasa ndio nimejitoa, sijawahi kuwepo timu yoyote!.

Asante.

Pasco.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…