Timu ya kampeni ya Lowassa hii hapa

Timu ya kampeni ya Lowassa hii hapa

shelukindo na mbatia mbona umewasahau?
 
Hapo Sophia Simba ameingizwa kwenye Kamati na APSON MWANG'ONDA kwa vile ni kiburudisho chake
 
shelukindo na mbatia mbona umewasahau?
Mkuu, hata mimi namshangaa sana huyu jamaa. Kawaweka mafisadi tu humu huku wale wanaotumiwa na mafisadi kawaweka pembeni
 
Hapo Sophia Simba ameingizwa kwenye Kamati na APSON MWANG'ONDA kwa vile ni kiburudisho chake

Ha ha ha ha ha ha ha ha ,mnajuana vema nyie kwenye viwanja vyenu bana.
 
Mkuu, hata mimi namshangaa sana huyu jamaa. Kawaweka mafisadi tu humu huku wale wanaotumiwa na mafisadi kawaweka pembeni

Ajabu kweli ukiangalia kundi hili hakuna hata mmoja aliyemsafi wote wezi na mafisadi wa mali za umma.
 
Kaka, mie nashangaa sana nchi hii. Yaani mafisadi wanapambwa utafikiri bi harusi

Nashangaa sana taifa hili limekuwa la kupangiwa uongozi na kikundi cha watu wezi kama hawa hii nadhani watanzania tuikatae hali hii.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ,mnajuana vema nyie kwenye viwanja vyenu bana.
Kaka, haya mimi nayajua sana. Kuna siku Sophia Simba alininunia eti kwa vile tu nilikaa jirani na APSON kwenye hafla moja ya kitaifa. Alianza kuleta utoto. Mkwara niliomchimba mpaka kesho ananiogopa. Nani aangaike na zee fisadi lile. Ukitembea na fisadi basi ujue laana ya Mungu ipo miguuni mwako
 
Ajabu kweli ukiangalia kundi hili hakuna hata mmoja aliyemsafi wote wezi na mafisadi wa mali za umma.
Kaka, imeandikwa kuwa mzinifu hataoa bali na mzinifu mwenzake. tafsiri usemi huo kwa mafisadi
 
Ooooh nchi yangu Tanzania, wanakuandilia maadui wa kukuangamiza ili utoweke kwenye ramani ya dunia. Wamejaribu kukuangamiza wakati huu Dhaifu yuko madarakani, Lakini tunashukuru Mungu Chadema alikuwapo akikupigania, sasa wanakusanya nguvu za ziada kuliko zile zilizotumika kumuingiza Madarakani huyu mpangaji wa sasa hapa magogoni.

Lengo ni moja tu, kula kila kilichobaki,Kutapanya kila kilichositirika na kuangamiza kila kilicho hai.

Haishangazi wanavyomshambulia mtetezi wetu Chadema kwa mapigo yote wanayoyajua hapa duniani kwani wanajua bila yeye kupotea ktk siasa za Tanzania hawawezi kutimiza lengo lao Naam wameunda kila mbinu ili kumwangamiza huyu mlinzi wetu, Tumeshuhudia wakianzisha chama toka "Mbavuni" mwa Cdm, na kama hiyo haitoshi walijaribu kuwauwa viongozi wao ktk mikutano ya siasa huko Arusha kwa kuwalushia mabomu, lakini kwakuwa Mungu alikuwa upande wao wakanusurika. Bado hawajatosheka wamefufua mauaji ya Wangwe ili kuihusisha upya Cdm na kifo cha Kamanda wake, lkn wapi wananchi walishatambua hila zao. Naam wamekaa sasa kutunga mengine mapya ya kuihusisha Cdm na machafuko mbalimbali hapa nchini lakini maadam Mungu yupo upande wa huyu mlinzi wetu tutavuka salama salimini.

Tanzania,Tanzania,Tanzania........Oooooh, Tanzania Mungu inusuru

BACK TANGANYIKA
 
[h=2]Vita kati ya Malecela na Lowassa ni ya muda mrefu. Hii hapa ndiyo siri ya utajiri wa Lowassa[/h]
Tokea enzi ya uhai wa Julius Kambarage Nyerere Faili la LOWASA kufahamika kuwa na utajiri wa kutosha linafahamika sana,na haijaanza leo kwa Lowasa kusemwa na kupewa shutuma kama hizo wala hazikuanza jana.

Zimeanza tokea kipindi Mwalimu Nyerere yuko hai,na hadi alishafikia hatua ya kuhoji utajiri wa Lowasa enz hizo akiwa kijana kama wa miaka 42 hivi,na kwa wakati huo miaka 42 huonekana kijana kweli kweli tofauti na sasa vijana katika umri kama huo washakuwa wazee tayari kutokana na ugumu wa maisha na frustuations zake.

Je,unafaham ni kwa nin MALECELA kwa kawaida tuh tokea hapo kale hampendi Edward Lowasa??

Hii vita haikuanza leo.,wanaccm hawa wawili na wenye ushawish kwenye chama hiko wameanza msuguano na malumbano tokea enzi hizo John Malecela akiwa Waziri Mkuu na Lowasa akiwa Waziri mwandamizi katika ofisi ya waziri ya waziri mkuu,kwa mantiki hiyo kwamba alikuwa chini ya malecela na kwa kumsaidia majukumu ya kazi ya siku zote za kuendesha serikali.

Enzi hizo wabunge wa jamhuri ya muungano wa tanzania walikuwa hawana magari ya kusafiria kama haya wanayokopeshwa kwa sasa,hali iliyokawa inawapa ugumu sana kuwatembelea wananchi wao majimboni hata wakati mwingine ugumu pia wa kuwahi bungeni kwa wakati kutokana na aina ya magari waliyokawa wanayatumia kipindi hiki kukosa stability ya kumudu safari na ukizingatia ubovu wa bara bara wa kipindi huko maeneo mbali mbali ya nchi hiyo.

Hili suala lilikua linaumiza sana serikali kipindi hiko chiniya utawala na usimamiz wake wazir mkuu wa kipindi hicho ndug john malecela.

Kutokana na kuwaza na kuwazua likaja wazo la kupeleka idea kwa serikali ya watu wa japan ili kuona ni kwa namna gani wanaweza kuwasaidia kihali na mali ili iweze kujikwamua katika tatizo hilo,

Mungu si Athumani,serikali ya japan enzi hizo wakakubali kuwaunganisha serikali ya tanzania na kiwanda cha toyota na kuwapa ushirikiano wa hali ya juu katika mazungumzo baina yao na kiwanda hicho hadi ikafikia tamati ya makubaliano kwamba serikali ya tanzania inaweza kukopeshwa magari hayo kisha wakawa wanalipa pole pole ili kusaidia kukizi na kuikubali changamoto hiyo.

Serikali baada ya kufanikisha plan hiyo ikaja kwa wabunge na kuwaeleza kwamba wanaweza kukopeshwa magari kwa mkopo,wabunge waliingia na wasi was kias flan na kusema wao wataweza kulipa vpi gharama hzo ukizingatia pesa waliyokawa wanachukua kipindi hiko isingetosha kulipa mkpo huo??

Serikali kupitia kw wazir mkuu malecele wakawaambia nyinyi chukuen tuh,sisi serikali tutajua tunawasaidia vipi,kwaiyo chukuen kwanza ili mukabiliane na changamoto ya usafiri kwanza.

Wabunge walikubali wazo lile na deal likafanyika,mambo yakafana kisawa sawa.

Sasa baada ya hapo mtu pekee ambae alikuwa anafuatilia mchakato mzima ni wazir wa nchi ofisi ya wazir mkuu enzi hizo akiwa ni edward lowasa,alikuwa anafuatilia suala hilo kwa ukaribu sana.


Wale wajapan walipolipwa chao,kumbe kuna makubaliano ambayo yakishafiikiwa baina yao na wazir mkuu malecela ya kumpatia kifuta jasho kwa kufanikisha deal ile kufanyika kwa ukamilifu wake.

Na yasemekana kifuta jasho hiko kilikuwa cha maana sana,cha maana sana sana,

Bahati mbaya sana wale wajapan walipofika ofcn kuleta kifuta jasho kile walianzia kwanza kwa ofisi ya wazir wa nchi ili wapate nafas ya kumuona wazir mkuu,sasa walipokutana na lowasa yasemekana akawauliza mnafuatia nin tena mheshimiwa ili hali deal ilishafanyika kikamilifu??kwan kuna tatizo??wale wajapan wakamwambia kwamba kuna kifuta jasho yapasa tumkabidh muheshimiwa wazir mkuu malecela.

Lowasa,,akastaajabu..!!akasema ,,"mnasema"???hicho kifuta jasho mnataka kumfikishia vipi mheshimiwa hamjui kuwa yule ni mtu mkubwa sana??kuna utaratibu wa kumfikishia kwa protokali ya serikali,sasa sikilizen bwana....

Hiyo pesa nipen mimi nitamfikishia,kwan kwa sasa hata hivyo yupo safarin hadi arudi,so nipeni mimi nitamkabidh,wale wajapan kwa kuwa wanafaham katika mchakato mzima wa ile deal lowasa nae alikuwa anaifuatilia kwa karibu hawakuwa na was was sana kumwachia amana kama ile.,,wakamwachia na kusign nae kisha wakageuza zao.

Kilichotokea hapo sasa mungu mwenyew ndie anaejua,

Lowasa akapiga kimya,kimya na yeye,yeye na kimyaa,muda ukawa unazid kwenda naskia ile pesa akaanza kuifanyia michakato ya kuizungusha na kuwekeza kwenye biashara ya real estate kwa haraka haraka na kuzikodisha kwa taasisi binafsi hata balozi mbali mbali za nchi mbali mbali,

Naskia ipo moja ambayo aliikodisha kwa ubaloz wa south afrika hapa hapa nchini,na hadi leo naskia iyo nyumba ni mali ya lowasa pamoja na vitu vingine vingi,kwa ufupi lowasa kawa DON tokea kitambo sana.

Sasa maskin mzee malecela akaona siku zinakwenda na kifuta jasho kutoka japan hakifiki,,akaamua kunyanyua simu na kuwavutia uzi jamaa na kuwauliza,ebwan vipi ile kitu yangu??mbona nyinyi wajapan wabaya kias hiko??ina maana baada ya deal kufanyika mnatupa jongoo na mti wake??

Wajapan wakasema Booossi,mbona kifuta jasho tulishaleta mda mrefu sana??tulimkabidh bwana Edward yule wazir wako wa nchi katka ofc yako na alisema atakukabidh kwan ulikuwa safarini..!!!

Malecela kikamshuka,kikampoa na asijue hata awajibu nini,

Ikabid sasa amwite edward na kumuuliza,wewe edward pesa yangu iko wapi??na nani alikuambia uichukue kwa niaba yangu??

Edward akasema Boooss,kwa kweli pesa nilichukua lakin sasa kwa kuwa ulikua safarini nikaona niiweke kwanza hadi urudi,,sasa kama unavyojua pesa tena mzee,kulitokea fursa za uwekezaji nikaamua kujikopesha ili niizungushe kisha nitakurejeshea lakin sasa mambo hayajaenda kama yalivyopangwa ndio kwa maana unaona kimya hiv sijakutafuta.

Sasa malecela presha ikampanda na kumshukaaa,atasema nini??na ile pesa ni chafu na ya deal ukizingatia yeye ni wazir mkuu??kumbuka nyerere yupo hai kipindi hicho na akifaham ishu kama hizo panakua hapatoshi..!!

Ikabid malecela ajikaze kisabun na kufa na tai yake shingoni huku lowasa akiendelea kupimp na kujitanua kwa raha zake.

Kwa kias kikubwa hapo ndipo LOWASA alipoanza kuwapiga GAPE LA KIPATO wenzake walio wengi,na kwa kias kikubwa wenyewe hao ambao wako ndan ya system wanalijua hilo.

Ndio kwa maana tokea zama hizo VITA baina ya LOWASA na MALECELA haiwez kuisha kamwe,kwan mambo waliyofanyiana wawili hao yanatishaa.

Hiyo ndiyo siasa ya bongo ilivyo,DO OR DIE.​
 
sijui huu uongozi Lowasa na Apson wanataka kuufanyia nini wanakela sana hawajamaa.
 
Back
Top Bottom