Timu ya FIFA ina kasoro, je ya UEFA?

gutierez,
FYI nafatilia Laliga kuliko unavyodhani na ni mshabiki wa Barcelona but i always base kwenye ukweli sio kama wewe unavyoongelea unaonekana umebase kiushabiki zaidi.Nakuuliza vitu vya msingi unashindwa kujibu unaanza kudai eti Carzola nimemjua akiwa EPL ,rudi kwenye hoja za msingi.

Ninafatilitilia Barca ya kiholanzi ya Van Gaal na wachezaji wake wa kidachi na kina Rivaldo,Saviola,Etoo,Riquelme,
Deportivo La Coruna kulikuwa na Water Pandiani,Diego Tristan,Mauro Silva,Djalmina,Roy Makaay,Fran,Donato,Juan Carlos Valeron
Valencia kuna kipa Santi Canizarez,Gaizka Mendieta,Roberto Ayala,Vicente,Carlos Marchena,Miguel Angulo
Villareal ya kina Marcos Senna(Captain),Franco,Juan Riquelme


Point inayozungumzwa sio kwamba Laliga haistahili kutoa wachezaji wengi kwenye hiyo timu,tatizo ni kuwa baadhi ya wachezaji waliowekwa kwenye hiyo list (Pique) last season hawakufanya vizuri
 
Last edited by a moderator:
Nadhani kitu kingine cha kuweka clear hapa ni kwamba hii team ya Uefa ni supporters' choice, washabiki ndio wameichagau. Tofauti na ile ya Fifa ambayo imechaguliwa na "wataalamu"
 
Kati ya Siku ukitaka kujidharirisha kwa watu wanaojua mpira embu uliza kati ya Toure na Sergio B nan mkali hrf uone kama hujaambiwa uanze kuangalia tena mpira.

Busquet mkali, by the way kumbuka Toure tulidshakuwa naye Camp Nou tukamtema baada ya kuwa amechuja. Kumbuka ndiye aliyetukoseha ubingwa wa UEFA 2010: ile match kati Barcelona na Inter Nusu finali
 
Busquet mkali, by the way kumbuka Toure tulidshakuwa naye Camp Nou tukamtema baada ya kuwa amechuja. Kumbuka ndiye aliyetukoseha ubingwa wa UEFA 2010: ile match kati Barcelona na Inter Nusu finali

kwa nini hakukaa First 11 ya Fifa wakati Mechi karibia ya zote pale Spain anacheza kama Kiungo Mkabaji na matokeo yake akawekwa Alonso. Kuondoka kwa Toure na Eto'o ulikuwa ni Ubaguz wa Pep.
 
Mashabiki wenzangu wa Barca na Spain mimi nitawapinga mpaka Kesho kwa kusema Sergio BUSQUETS ni mkali kuliko Yaya TOURE.
 
Mashabiki wenzangu wa Barca na Spain mimi nitawapinga mpaka Kesho kwa kusema Sergio BUSQUETS ni mkali kuliko Yaya TOURE.
Kwa mtazamo wangu sababu za Toure kuuzwa ziko 3

1.Pep alivyopewa timu alipanga kuwapa nafasi wachezaji wazawa/kutoka La Masia kwa hiyo wachezaji wasio wazawa
kama Etoo,Deco,Toure ilikuwa lazima wauzwe

2.Yaya Toure alikuwa ni mzito sana kucheza kuendana na kasi ya Barca hasa nafasi ya kiungo mara nyingi alicheza beki

3.Yaya Toure ni mzuri sana akicheza kama kiungo mshambuliaji(anatoa pasi za magoli na kufunga magoli) na sio mzuri
sana kwenye kukaba.So ilikuwa ni ngumu kumweka benchi Xavi ili yeye acheze
 
Busquet mkali, by the way kumbuka Toure tulidshakuwa naye Camp Nou tukamtema baada ya kuwa amechuja. Kumbuka ndiye aliyetukoseha ubingwa wa UEFA 2010: ile match kati Barcelona na Inter Nusu finali
Sidhani kama Toure alisababisha Barca kutolewa na Inter 2010,nakumbuka first leg San Siro ambayo Inter alishinda 3-1 Toure hakucheza but alicheza Nou Camp second leg kama beki wa kati baada ya Puyol kuwa majeruhi na Barca akashinda 1-0.Yaya Toure alikosesha vipi ubingwa Barca?
 

swali zuri ulilomwuliza.
 

Nimekuelewa vizuri sana Mkuu, hiyo sababu ya Kwanza imekaa vizuri. Eti alimtoa Eto'o na kumleta Ibrahimovic.
 
Kama unakumbuka mechi vizuri goli dakika za majeruhi lilifungwa na Messi Toure akijua kabisa yupo offside aligusa ule mpira, na ikawa offside, lakini asingegusa lilikuwa goli na tulikwa tunakwenda fainali na Bayrn. Coz kwenye ile mechi tulikuwa tunhaitaji magoli mawili tu ili tufike fainali.
 
Nakumbuka goli alifunga Bojan,sidhani kama hiyo ni sababu ya msingi kumlaumu Toure hivyo ni vitu vya kawaida kwenye mpira.Mimi naamini Inter alimtoa Barca kwa ule ushindi wa 3-1 kule Italia,kule Nou Camp ilikuwa kukamilisha ratiba ndio maana Mourinho akaamua kupaki basi akijua kazi alishamaliza GMeazza
 
aah jamani mbona siwaoni wachezaji wa Yanga na Simba. Hawa Fifa wahuni, itabidi tuandamane hadi Zurich
 
Kati ya Siku ukitaka kujidharirisha kwa watu wanaojua mpira embu uliza kati ya Toure na Sergio B nan mkali hrf uone kama hujaambiwa uanze kuangalia tena mpira.
Sitoshangaa mkipinga ukweli ambao unajionyesha wazi na hata Yaya alikimbizwa Barca 7bu ya Sergio,na ndio Barca mpk sasa kuja kwa Busquets haijawahi kukosa kucheza nusu final,wengi wenu mnapenda mpira wa anaoanao ndio mtamsifia Yaya Toure
 
Mashabiki wenzangu wa Barca na Spain mimi nitawapinga mpaka Kesho kwa kusema Sergio BUSQUETS ni mkali kuliko Yaya TOURE.
Ukipinga ni wewe,mana hata Nabii Nuhu watu walimpinga lakini baadae wakayaona wenyewe,sasa wewe unabishana na ukweli,maana Sergio Busquets toka acheze Barca,Barca hawajawahi kukosa nusu final uefa champsions ligi,unaona mwenyewe sema unaleta ubishi,Yaya wengi mnaangalia mpira wa anao anao,mafanikio ya Busquets ni kama mchango wa Claude Makelele real madrid na France kutamba miaka ya 2000,Yaya Toure bado.
 
Kwanza Hatukutambui kama La Furia Roja wewe,wewe ni mamluki,waspain hawapigi kelele watu wanajionea wenyewe
 
Toure hakucheza mechi hiyo
 
Ngoja ntakumbukia,ila kwa mimi najuaToure hakucheza Barca toka2009,na mechi yake ya mwisho ni final uefa vs Man Utd 2009 barca kashinda 2-0 Etoo na Messi alicheza beki kiungo Busquets na jezi namba 28 ikiandikwa Busquets sio Sergio kama sasa jezi 16 wakati huo mdogo na Scholes akala njano kwa rafu badala ya kuzungushwa pale kati,ngojeni niwafahamishe na huenda hapo ndio mtapata picha,na ndio ikamfanya Del Bosque amuite world cup 2010
 
gutierez Mupirocin ALEYN Jacobus Mourinho

Again Gutierez now nimeanza kuwa na mashaka na ushabiki wako wa Barca,unajifanya unajua sana sijui kwa nini hutaki kukubali ukweli.Nilishakwambia baki kwenye ukweli punguza unazi hata mimi ni shabiki wa Barca now umekuja na story nyingine eti Yaya Toure hakuwepo wakati Inter anamtoa Barca.Game ya kwanza kule Italy Toure hakucheza alikuwa benchi beki walicheza Pique na Puyol,game ya marudiano Nou Camp Puyol alikuwa majeruhi Pep akawapanga Yaya Toure na Pique kati ,Gabi Milito akapangwa kushoto Dani Alves kulia.Nakumbuka kuna goli Bojan alifunga dakika za mwisho refa alikataa Toure alishika/au alikuwa offside(sikumbuki vizuri) refa akalikataa

FYI:Yaya Toure aliondoka Barca 2010 na kutua Manchester City
 
Last edited by a moderator:
kweli ndio maana nimejirudi,maana alikaa sana bench sikudhani kama kuna mechi alicheza,ila ya Inter nakumbuka gabriel milito wa barca alicheza kukabana na kakake diego milito,yaya toure sidhani mambo mengi ndio mana imenifanya nitake kukumbukia vizuri,maana toka ile final uefa vs man utd alicheza beki sijamuona tena akicheza yaya toure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…