Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,551
Tunaruhusiwa kusema madhaifu yake hapa pia?
Anzisha uzi wako uandike unayotaka kusema ila usituchanganyie habari humu ndani
Tunaruhusiwa kusema madhaifu yake hapa pia?
Magufuli all the way...
Ikulu hiyoooo inamsubiri
Njaa mbaya sana. Team Magufuli mpoo mnajua slogan yake? "nitailinda, ntailinda nitailinda" mnajua ni nin? Hatari sana ukikuta kijana yupo humu.
Ana vision gani kuhusu hili Taifa kuliletea maendeleo?
Anzisha uzi wako uandike unayotaka kusema ila usituchanganyie habari humu ndani
yaani kwa mambo haya yanayofanyika na masisiem nasema km ukikipigia kura chama hiko utakuwa mpumbavu.
Thread inasema team magufuli wewe ambaye si mmoja wao unasema wale wanaomsupport Magufuli ni sababu ya njaa. Hapo ni sawa? Tuwe na hekima.Njaa mbaya sana. Team Magufuli mpoo mnajua slogan yake? "nitailinda, ntailinda nitailinda" mnajua ni nin? Hatari sana ukikuta kijana yupo humu.
Wadau kama wewe unampenda kiongozi huyu shupavu ingia hapa tuungane kumuunga mkono huyu Jembe na mzalendo CCM imekufa lakini Magufuli bado ana heshima na si fisadi kama baadhi ya wajumbe waliopo hata upinzani Naamini kuchagua mtu na si chama ndiyo itakayoivusha Tanzania yetu salama kwenye mtihani huu mgumu wa uchaguzi mwaka huu.
Ungana nasi kutengeneza timu ya Ushindi ya ndugu yetu John Pombe Magufuli na tunaamini atayafanyia kazi yale yoote tuliyokubaliana nae kuhusu kuifufua Tanzania inayozama...
Wasalaaam
Siamini kuna mabadilko ya kweli wote waliokua CCM ndiyo wanaohamia chadema tena ni wale waliokua wakituhumiwa kwa uchafu bora kura yangu ihatibikike kuliko kuunga mkono ninachokipinga, kwa kumpigia mtu anaenyesha kabisa ana lake jambo.