mwasumwenye
Member
- Jul 11, 2015
- 23
- 1
Kama upo nchi hii na humkubali Magufuli wewe nimshabiki wa vyama vya kisiasa. Huangalii utendaji. Mibado sijaona wakumzidi Magufuli
Mkuu angalia usije jitoa uhai.Magufuli akishinda Napiga Mbizi Mpaka Madagascar.
Magufuli ni sawa na msichana wa kazi mwenye bidii. Anafaa sana kwa kutumwa tumwa. Lakini urais sio hadhi yake!