TIMU Magufuli tukutane hapa

TIMU Magufuli tukutane hapa

Wadau kama wewe unampenda kiongozi huyu shupavu ingia hapa tuungane kumuunga mkono huyu Jembe na mzalendo CCM imekufa lakini Magufuli bado ana heshima na si fisadi kama baadhi ya wajumbe waliopo hata upinzani Naamini kuchagua mtu na si chama ndiyo itakayoivusha Tanzania yetu salama kwenye mtihani huu mgumu wa uchaguzi mwaka huu.

Ungana nasi kutengeneza timu ya Ushindi ya ndugu yetu John Pombe Magufuli na tunaamini atayafanyia kazi yale yoote tuliyokubaliana nae kuhusu kuifufua Tanzania inayozama...

Wasalaaam



Magufuli akishinda Napiga Mbizi Mpaka Madagascar.
 
Tunaimani na Dr Magufuli! Oya oya oya! DR MAGUFULI KWELI KWELI KWELI DR MAGUFULI! Nina iman na huyu Mh Magufuli na ninajisikia furaha sana ktk uteuzi wa ke ninaiman atalipeleka ktk atua mpya tena ya juu sana. Let join our hands to Dr Magufuli!
 
MGOMBEA mteule wa urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli, kesho Jumanne, Agosti 4, 2015, atatinga Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kuchukua fomu ya kuomba kugombea Urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba Mwaka huu.


Akizungumza na waandishi wa habari, leo jijini Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, Msafara wa Dk. Magufuli kwenda kuchukua fomu hiyo, utaanza saa tano asubuhi ukitokea Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam.


Nape amesema, msafara ambao utaambatana na shamrashamra za aina yake, utapita katika Barabara za Morogoro, Bibi Titi Mohammed na Ohio kabla ya kufika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi zilizopo Posta House, karibu na makao Makuu ya Jeshi la Polisi.


Amesema, Dk. Magufuli ambaye ataambatana na Mgombea mwenza wake, Samia Suluhu, mbali na makada, wapenzi na wanachama wa CCM, atasindikizwa na viongozi mbaimbali wakiwemo, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.


Dk. Magufuli alichaguliwa na Mkutnao Mku wa CCM, uliofanyika Oktoba 11, 2015, mjini Dodoma, baada ya kuwashinda wagombea wenzake, Dk. Asha-Rose Migiro na Amina Salum Ally.
 
Ndo raisi wa tanzania bila ubishi
 
Nimesikia salam mpya mtaani imenistua sana watu wanasema pipos wanaitikia pesa naogopa
 
CCM oyeee. Tupo nyuma ya magufuli.
 
We Honolulu mbona mama yako alishindwa kazi ya u -housegirl akaamua kuwa changudoa hatukusemaa?
Mkuu wala usiwe na jazb na wahaka juu ya hawa. Tujipambanue tofauti, wacha wao watukane ila sisi tuwape nondo na ubora wa Mgombea wetu yaani John Joseph Pombe Magufuli (PhD).

John Joseph Pombe Magufuli ni mtendaji ambaye ataivusha nchi kuelekea maisha bora. Ni mtu anayeweza kutimiza ahadi zake hivyo tutegemee kuona akiitekeleza vilivyo ilani ya CCM ya mwaka 2015 - 2020.
 
Back
Top Bottom