TIMSAIDIE 10'000/-

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
*Sh.1,000/=* na Sh. *10,000/=* walikuwa *marafiki.* Siku moja walipata ajali na wote wakafa. Walipofika kwenye lango la *paradiso*,Mungu akamruhusu sh. *1,000/=* aingie. Sh. *10,000/=* akamuuliza Mungu, Bwana , Mimi nina thamani mara *10* kuliko huyo! Anawezaje kuingia Mimi nibaki nje?
Kisha *Mungu* akamjibu kuwa, sh. *1,000 * na wadogo zake sh. 100/=, 200/= na 500/=* kila siku wanakuja kanisani. Lakini wewe kila siku unapatikana *bar, night club, migahawani na kwenye mahoteli,* kwa hiyo ondoka mbele yangu sikujui.

Tafadhali jamani. Tumsaidie sh. *10,000/=* awe anafika kanisani✝
 
Back
Top Bottom