Times FM mnafunika

Ipi dot com

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
301
113
Kadri siku zinavyozidi kwenda binafsi naona kituo cha times fm kinakonga nyoyo zetu hasa wanapoongea ukweli kuhusu ubovu wa viongozi wetu.keep it up times fm
 
Mikoani hatuisomi,ila km ndo inafanya kazi hyo...respect!!
Ila iwe makini,isije ikaanza kuhongwa hongwa vichenchi maiti na hao wa magamba ikaanza kujeuza nyeusi kuwa nyekundu,km radio ya "wafu-clouds fm"
 
Jumajumaaaa jumajuma dede kuchneh babu ji jumajuma dedeee,asee nafagilia sana hii station c km ile ya wenye mitusi km kijiweni lool
 
mmh!hamjafatilia vipindi vyao vyote hao jamaa,especially taarifa zao za habari,i beg to differ,mi naiona hii redio kama tawi la ccm,kipindi cha kampeni za uchaguzi walinichefua kichizi na ukada wao,...labda wanajirekebisha siku hizi
 
Back
Top Bottom