Time travelling kusafiri mbele au nyuma ya muda inawezekana?

JAMANI HUKU NDANI MSHASIKIA KUHUSU TIME TRAVELLING?

Kusafiri mbele au nyuma ya muda?

Mfano wa yule mtakatifu miaka ya juzi aliyeweza kusafiri nyuma ya muda hadi miaka 2000 iliyopita kuhudhuria chakula cha mwisho bwana yesu alichokula na wanafunzi wake na pia kuhudhuria kusulubiwa kwa bwana yesu

Vipi kuhusu raia wa uswis ambaye amesafiri mbele ya muda hadi mwaka 2042 na kushuhudia dunia itakavyokua na akapiga na picha?

Vipi kuhusu mwaka wa 1992 wakati wa pambano la mike tyson yule aliyeonekana na smartphone kali kama hizi za samsung akicharaza photo kama kawaida wakat smartphone zimegunduliwa miaka hii tu jee mtu huyo alisafiri mbele ya muda kutoka 1992 hadi 2020 katika zama za smartphone?

Vipi kuhusiana na cds zilizokutwa mwaka 1704 wakati cds zimegunduliwa miaka hii tu jee hao watu waliokua na cd miaka hiyo walitoa wapi hiyo teknolojia miaka hiyo au walisafiri mbele ya muda yaani kutoka 1704 hadi miaka hii yetu ya kutumia cd?

Vipi watu walioweza kusafiri nyuma ya muda na kurudi utotoni kuhudhuria matukio mbalimbali ya utotoni?

Guys hii mada imekua jambo zito mnooo

*mimi naomba mnijuze kwanini nchi za magharibi na dunia wanapambana usiku kucha hawalali kuhakikisha hii sayansi ya time travelling haifanikiwi hata kufikia hatua ya kuwashughulikia na kuwanyamazisha wanasayansi wanaotafiti kuhusu hili jambo la time travelling?

Jee huenda hii time travelling ni siri ya mataifa makubwa au ajenda ya wachache ambao huitumia kwa faida zao tu huku wakipambana isijulikane?*

Tuwaze kwa pamoja
Top lemon bei gani?
 
Time travel yah IPO kwenda mbele ya muda lala then ukiamka kesho utakuwa umekwenda future
Ukitaka kurudi back kaaseemu tuliivu vitapicha ya matukio ya Jana so apo utakuwa umecheza pande zote za time line
ZAIDI YA HAPO NI UZUSHI
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ƒ
 
Back
Top Bottom