Haujamwelewa mkuuKwa hiyo Yesu bado yupo kule miaka 2000 iliyopita anakula chakula chake cha mwisho yeye na wafuasi wake? Chakula jakiishi wala tukio halikamiliki?
Hivi tuseme, watu mfano wa manabii ambao huota jambo litakalotokea mbeleni kwa uhalisia wake kabisa, wao huita 'maono' huwa ni ni nini?hii kitu haipo n nadharia tu em jiulze mtu anasema amesafr kwenda 2046 na kupga picha hao watu wa 2046 wametoka wap mpaka yeye asiwepo at that curent time?? amerud miaka 2000 nyuma wakat wa tukio la yesu kula last saper katika wale watu 12 waliokuepo kwenye the last sapper ye alismama wap au aljuaje pale ndio the last saper au kama altua kwenye nyumba ya ya Zakayo akiwa na familia yake kwenye karam ya jion tunajuaje? yan hii kitu haipo kawaida ya wazungu hutufanya kufkiria upuuz ambao haupo il tue bize kukimbzana nao uku wao wakikava curent stuation na kufanya vtu vya juu zaid na ss kubak na migongano ya kiwazo tu
🤪😂😅🙌Kwa hiyo Yesu bado yupo kule miaka 2000 iliyopita anakula chakula chake cha mwisho yeye na wafuasi wake? Chakula hakiishi wala tukio halikamiliki?
Sio habari za movie hizi za akina Avengers 😂Vipi ukirudi nyuma unaweza ku-edit makosa yako ya nyuma then yakaleta direct effect kwa kwa maisha yako ya sasa?!
Mfano unarudi miaka kadhaa nyuma,unakua uko kwenye chumba cha mtihani wa form 6 then ukapiga paper fresh tofauti na ulivyopiga zamani je itabadili matokeo ya necta hadi kwenye database yao?
If not yes,what amazing is this invention ...we better adopt it ila inaweza kutuumiza maana waliompiga lissu watarudi nyuma wasirudie kosa,
If not,its just read only memory (ROM) kinda stuff, it just a dream...hence bullshut
JAMANI HUKU NDANI MSHASIKIA KUHUSU TIME TRAVELLING?
Kusafiri mbele au nyuma ya muda?
Mfano wa yule mtakatifu miaka ya juzi aliyeweza kusafiri nyuma ya muda hadi miaka 2000 iliyopita kuhudhuria chakula cha mwisho bwana yesu alichokula na wanafunzi wake na pia kuhudhuria kusulubiwa kwa bwana yesu
Vipi kuhusu raia wa uswis ambaye amesafiri mbele ya muda hadi mwaka 2042 na kushuhudia dunia itakavyokua na akapiga na picha?
Vipi kuhusu mwaka wa 1992 wakati wa pambano la mike tyson yule aliyeonekana na smartphone kali kama hizi za samsung akicharaza photo kama kawaida wakat smartphone zimegunduliwa miaka hii tu jee mtu huyo alisafiri mbele ya muda kutoka 1992 hadi 2020 katika zama za smartphone?
Vipi kuhusiana na cds zilizokutwa mwaka 1704 wakati cds zimegunduliwa miaka hii tu jee hao watu waliokua na cd miaka hiyo walitoa wapi hiyo teknolojia miaka hiyo au walisafiri mbele ya muda yaani kutoka 1704 hadi miaka hii yetu ya kutumia cd?
Vipi watu walioweza kusafiri nyuma ya muda na kurudi utotoni kuhudhuria matukio mbalimbali ya utotoni?
Guys hii mada imekua jambo zito mnooo
*mimi naomba mnijuze kwanini nchi za magharibi na dunia wanapambana usiku kucha hawalali kuhakikisha hii sayansi ya time travelling haifanikiwi hata kufikia hatua ya kuwashughulikia na kuwanyamazisha wanasayansi wanaotafiti kuhusu hili jambo la time travelling?
Jee huenda hii time travelling ni siri ya mataifa makubwa au ajenda ya wachache ambao huitumia kwa faida zao tu huku wakipambana isijulikane?*
Tuwaze kwa pamoja
Muda hautegemei jua wala dunia.Tekinologia gani inafaa kufanya time travel, na hiyo time travel unaifanya kuelekea wapi? Ukijuiliza baadhi ya maswali unagungua kuwa hakuna kitu kinachoitwa time travel.
mda unategemea vitu viwili yani dunia kulizunguka jua na dunia kujizungusha katika muhimili wake.
Time travel ni ndoto tu.
Mkuu time is just an illusion.Kwa hiyo Yesu bado yupo kule miaka 2000 iliyopita anakula chakula chake cha mwisho yeye na wafuasi wake? Chakula hakiishi wala tukio halikamiliki?
Conspiracy theoryJAMANI HUKU NDANI MSHASIKIA KUHUSU TIME TRAVELLING?
Kusafiri mbele au nyuma ya muda?
Mfano wa yule mtakatifu miaka ya juzi aliyeweza kusafiri nyuma ya muda hadi miaka 2000 iliyopita kuhudhuria chakula cha mwisho bwana yesu alichokula na wanafunzi wake na pia kuhudhuria kusulubiwa kwa bwana yesu
Vipi kuhusu raia wa uswis ambaye amesafiri mbele ya muda hadi mwaka 2042 na kushuhudia dunia itakavyokua na akapiga na picha?
Vipi kuhusu mwaka wa 1992 wakati wa pambano la mike tyson yule aliyeonekana na smartphone kali kama hizi za samsung akicharaza photo kama kawaida wakat smartphone zimegunduliwa miaka hii tu jee mtu huyo alisafiri mbele ya muda kutoka 1992 hadi 2020 katika zama za smartphone?
Vipi kuhusiana na cds zilizokutwa mwaka 1704 wakati cds zimegunduliwa miaka hii tu jee hao watu waliokua na cd miaka hiyo walitoa wapi hiyo teknolojia miaka hiyo au walisafiri mbele ya muda yaani kutoka 1704 hadi miaka hii yetu ya kutumia cd?
Vipi watu walioweza kusafiri nyuma ya muda na kurudi utotoni kuhudhuria matukio mbalimbali ya utotoni?
Guys hii mada imekua jambo zito mnooo
*mimi naomba mnijuze kwanini nchi za magharibi na dunia wanapambana usiku kucha hawalali kuhakikisha hii sayansi ya time travelling haifanikiwi hata kufikia hatua ya kuwashughulikia na kuwanyamazisha wanasayansi wanaotafiti kuhusu hili jambo la time travelling?
Jee huenda hii time travelling ni siri ya mataifa makubwa au ajenda ya wachache ambao huitumia kwa faida zao tu huku wakipambana isijulikane?*
Tuwaze kwa pamoja
Mzee ukitaka ku-time travel unatakiwa atleast uwe na speed zaidi ya Light. Kutokana na equation ya Einstein ya E=MC2 ili uwe na speed zaidi ya light inatakiwa hicho kitu kisiwe na Mass au energy inayotakiwa kukipeleka speed ya light iwe infinity. Yaani uchukue matter yoote ya universe uichange into energy ndio unaweza kumove kitu chenye mass into speed ya light.
Sasa kupunguza tu wingi wa maneno ni kwamba haiwezekani.
Hio ni physics point of view.. sasa ukitumia logic ya kawaida kuna ile kitu wanaita " grandfather paradox " mfano ukifanikiwa kutime travel ukaenda ukamuua babu yako inamaana baba ako hatazaliwa na wewe hutazaliwa inamaana hutaexist ili kuja kutimetravel kumuua babu yako.. unaona changamoto ilipo.