Time Travelers

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
727
548
Ilikuwa mida ya saa 8 mchana nikiwa nimechili geto najalibu kuperuzi simu yangu uku nikichat.

Geto chumba kidogo sana mwa mwezi nalipa buku teni, kuna joto sana mchana.

Ugumu Wa maisha unanifanya kama nitake kidogo, nkaona isiwe tabu ngoja nkaoge Ku relax mwili kidogo.

Wakati Niko chooni napiga maji na sabuni ya kipange kwa bahati mbaya sabuni ikaningia machoni.

Nikiwa katika harakat za kupapasa Ndo ya maji ili nichote maji nitoe sabuni machuni gafla nikajikuta nipo kwenye choo tofauti ambacho ni cha kisasa zaidi.

Sikuelewa kinacho endelea kwa Muda ule, lilikuwa ni jumba kubwa na la kitajili, wakat nikitafakal la kufanya gafla nikasikia mlio Wa simu.

Kucheki pembeni yangu kulikuwa na box kubwa ambalo lilikuwa na nguo pamoja na simu iliyokuwa ina ita.

Nikachukua ile simu na kukuta message iliyo andikwa " welcome"
Nikazidi kuchanganyikiwa sikujua nini cha kufanya nikiangali tarehe INA sema 25.10.2050...nikazimia gafla
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom