Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Time travel, kisayansi limekuwa jambo la kuvutia na linalofanyiwa utafiti nyakati hizi.Naomba Sema neno sasa kwenye mada hii... Natambua unalo la kuchangia hapa asante
Time travel - time and space. Here is an example:Tuifahamu time travel ninini kwanza (si lazima iwe sawa na ile unaifahamu wewe) .... Ni sawa na kurudisha muda nyuma na kuleta uhalisia wa jambo lililipita ulifanye tena ama kupeleka muda mbele na kufika ambako wengine hawajafika bado... Yaani uifike kesho kupitia muda kabla
Kuhusu "Time travel", kufunua "Ufufuko" tutatazama kadiri ilivyo katika Falsafa (Philosophy). Hapa tafadhali... Mfanano na mkanganyiko wake... Uwiano na hata ukinzani wakeTime travel, kisayansi limekuwa jambo la kuvutia na linalofanyiwa utafiti nyakati hizi.
Katika falsafa na baadae sayansi time travel, imekuwepo na utafiti unafanyika kutafuta ukweli wake. Hatahivyo, katika hali ya kawaida ya akili, time travel aiingii akilini- illogical. Teknolojia nyakati zetu imeonekana kikwazo kufanikisha time travel, sayansi inasema. Inasisitiza kuna uwezekano wa jambo hili kuwa kweli, kadiri muda unavyokwenda na sayansi inavyokua.
Kimsingi, tangu mawazo ya time travel kuanza karne ya 20 na sasa yanavyooendelea kufanyiwa utafiti katika sayansi, kuonekana kwake illogical, hii yote ni mwanadamu katika kutafiti maumbile.
Kutoka kwenye mtazamo huu wa kibinadamu- sayansi, kunafunua ukweli "Ufufuko wa Miili", baadae mwisho wa dunia.
Kwa binadamu, ufufuko, ni illogical. Binadamu anaona swala hilo ni hadithi tu, halina ukweli wowote.
Time travel, kimsingi in jambo la field mbili tofauti. Kwamba, kwa mfano, Jane amesafiri kwenye chombo, alipoanza safari yake alikuwa na miaka 20, akiwa ndani ya chombo alitumia saa tano. Kwa muda wa saa tano aliokuwa amesafiri anawakuta waliokuwa na umri kama wake wa miaka 20 wana miaka 70. Hapa utaona kwamba time travel ya Jane was slow kwenye hiyo field aliyokuwepo. Lakini wenzake aliowaacha kwenye field nyingine (assume the earth ) time travel yao is faster.
Bado time travel inaacha maswali kama jinsi hii yote inatawalaje kifo?
Ufufuko ni tendo linatangiliwa na kifo. Kwa kifo huja ufufuko. Ingawa ufufuko ni jambo linalopita uwezo wa mwanadamu, lakini jambo hili limejifunua mara nyingi katika maisha ya binadamu.
Namna iliyowazi sasa hata katika sayansi ni Roho. Kwa uthibitisho wa Roho katika sayansi kunafunua ufufuko wa miili mwisho wa dunia
Time travel - time and space. Here is an example:
Mtu anaesafiri kwa basi na mtu mwingine aliyesimama kando ya barabara, huyu aliye kando ya barabara ataona basi linakwenda kwa kasi (faster) wakati yule alie ndani ya basi ataona basi linakwenda kawaida (slow). Hapa ukichunguza utaona kuna suala la mwanga; kama jambo moja.
Kwenye huo mfano hapo juu, utaona kuna chombo (basi), pia utaona kuna watu wawili. Mmoja ndani ya basi na mwingine kando ya barabara. Huyu wa kando ya barabara yeye anaona chombo (basi) kinaenda kasi. Wakati wa ndani ya basi anaona basi linakwenda kawaida.
Hapa utaona pia kuna fields mbili, spaces; kama jambo la pili. Field ya kwanza ni ya yule ndani ya basi na ya pili ni ya yule kando ya basi.
Pia kwenye huu mfano hapo juu, kuna basi, chombo (tecknolojia) kama jambo la tatu.
Vitu hivi vitatu: Light, Space and Technology, vinatafuta kujua ukweli wa hili wazo la "Time Travel", katika sayansi ya maumbile.
Kwa huyu aliye ndani ya basi, she is traveling slow through time wakati huyu aliye kando ya barabara ya basi, she is traveling faster through time.
Kuhusu "Time travel", kufunua "Ufufuko" tutatazama kadiri ilivyo katika Falsafa (Philosophy).
Sasa Bwana Mshana najua si rahisi kuyaoorodhesha maarifa usemayo ni forbidden (Ikiyataja sawa ) . Hivyo swali langu ni kwamba nikifahamu kuwa asili ya binadamu ni Afrika , huu ufahamu utawezaje kuwa msaada wa mabadiliko ya kile kilichopokwa na tukafikia ama kuwazidi waliotupoka ?Kwa mujibu wa historia iliyoshindikana kabisa kuchakachulika mwafrika ndio binadamu mkongwe zaidi na inasemekana ndio binadamu wa kwanza kuumbwa... Kwahiyo huyu ndio chanzo ndio asili na ndio awali
Awali ni awali tu haiwezi kushindwa na upili... Maarifa mengi kuhusiana na huu ulimwengu yana asili na Africa na waafrika... Ila kuna kitu kilitokea hapo kati tukazidiwa maarifa tukapokwa cha kwetu na kupewa maarifa ya kulazimishwa... Yasiyo na tija, ubunifu wala uvumbuzi mpya...
Elimu yetu ya kiroho ambayo ndio kama engine ya dunia ikapewa jina la Forbidden education... Tukaumbiwa kuamini na kuaminishwa vitu tusivyo na asili navyo... Tukafunzwa kuisoma na kuitukuza sayansi kama ndio hekima, ndio elimu ndio uvumbuzi na ufumbuzi.... Lakini sayansi bila roho (nishati) si lolote si chochote ni mfu kama jiwe
Sahihi kabisa ndio mwanzo wa ufunuo mpya wa tafiti zilizokatishwa na kubezwaSasa Bwana Mshana najua si rahisi kuyaoorodhesha maarifa usemayo ni forbidden (Ikiyataja sawa ) . Hivyo swali langu ni kwamba nikifahamu kuwa asili ya binadamu ni Afrika , huu ufahamu utawezaje kuwa msaada wa mabadiliko ya kile kilichopokwa na tukafikia ama kuwazidi waliotupoka ?
Nina swali endapo ni nje na mada kwanini mungu na shetani wamekuwa wakijihusisha Sana na matendo ya mwanadamu kwani hakuna vyengine vya kufanya...?
Hili swali hatari sana. Inasimuliwa wote eana uwezo mkunwa sana kitendo cha kusumbuana kuhusu binadamu ni cha kufikirisha.Nina swali endapo ni nje na mada kwanini mungu na shetani wamekuwa wakijihusisha Sana na matendo ya mwanadamu kwani hakuna vyengine vya kufanya...?
Tokea tunakua tunaenda kanisani tunamiinishwa yesu alikua mzungu mtume na mtume muarabu..Shida ilianzia kwa huyu aliyetoa majina ya mabara,afrika,asia n.k
Tabu ikaja mzungu na Mungu kwamba wenyewe wana uhusiano wa karibu sana na Mungu au ?
Tokea tunakua tunaenda kanisani tunamiinishwa yesu alikua mzungu mtume na mtume muarabu..
Sisi africa chetu ni kipi haswa ?
Hebu tuanze na tulichonacho kwanza tukirudi nyuma tutafika wapi na historia imeshafutwa yote..
Sawa binadamu wa kwanza alikua muafrika enh !?
Asili ya neno afrika ni ipi ?manaake nini ?
Kabla ya hapo kulikua na jina gani
Aaaaahhhh hebu niende kwa dada ASHA nikakope bingwa mbili
Kuhusu asili ya binadamu ni Afrika au wapi. Mimi huwa sikubaliani na madai hayo na kimsingi huwa naona mawazo hayo kama UBINAFSI wa bure!Asili ya binadamu ni Afrika... Hili halijawahi kukanushwa popote... Na tunaambiwa aliishi miaka million nyingi... Asili ya dunia ni mashariki ya kati kiimani na kidini... Misahafu karibia yote na madokezo ya kidini yanazungumzia uumbaji wa dunia kwenye ulimwengu wa kiimani kama chanzo na asili yake ni mashariki ya kati.. Hapo ndio penye chimbuko... Lakini umri ukitofautiana kutoka
Kimsingi mawazo hayo ya UAFRIKA kama yanavyosemwa na Wafrika wenyewe, ni UONGO, hayana ukweli wowote. Kwa mawazo hayo, dhana na kuelekea maisha hayo, tumeukataa UKWELI na kwa sababu hiyo ndiyo maana tuko masikini, hatuna teknolojia, maadili hakuna, wala sayansi, achilia mbali falsafa na teolojia. umenipa mawazo na mtazamo mpya... Japo bado naona kama Afrika bado kuna mahali tuliyumba na kupotea mazima... Bado nina hisia zenye nguvu mno kuwa Afrika hiyo ya zamani ilikuwa nyingine tofauti kabisa na hii ya leo iliyo utumwani kuanzia fikra mpaka matendo bila kusahau mitazamoKuhusu asili ya binadamu ni Afrika au wapi. Mimi huwa sikubaliani na madai hayo na kimsingi huwa naona mawazo hayo kama UBINAFSI wa bure!
Hakuna ushahidi wapi hasa ni asili ya mwanadamu, Afrika, Asia, Europe, America au Australia. Kimsingi hakuna mtu anaeweza kujua exactly wapi, hasa mwanadamu wa kwanza alianza kuishi, jibu sahihi ni Duniani.
Mawazo kwamba, aliishi Afrika au Ulaya au kwingine kokote, ni makisio tu, hasa ya kutafuta ukweli wa historia ya mwanadamu.
Ukweli ni kwamba, historia halisi ya mwanadamu, inayoeleweka vizuri, ni baada ya Yesu Kristo. Kabla ya Yesu Kristo, historia ya mwanadamu siyo wazi, imejaa makisio.
Saula la kwamba, Mwafrika anauwezo mkubwa wa akili, siri nyingi za ulimwengu, sayansi na teknoloji: maarifa yote, ni vigumu kuwa, ni la Mwafrika pekee, na kwamba jamii nyingine zilichukuwa kwa Mwafrika. Siyo kweli. Hii ni kwa sababu vile alivyo Mwafrika kimaumbile ndivyo pia alivyo Mzungu, Mwarabu, Mhindi au jamii nyingine ya binadamu.
Mwafrika, ambae mawazo yanadai teknolojia, na maadili mema yanatoka kwake, mbona hatuoni akidhihirisha ukweli huo (maadili mema, sayansi na teknolojia)?
Yesu ambae Wafrika wengi wanamkataa, kadiri ya historia siyo Mzungu, lakini Wazungu wanamfuata kikamilifu. Kwanini Wazungu wanamfuata Yesu, asiye asili yao na Wafrika ni kinyume chake?
Ukitazama mawazo ya Wafrika - wanavyoishi, wanasema, walikuwa/wana DINI ZAO. Lakini ukiwauliza hizo dini zao ni zipi na nani mwanzilishi wao? Na kwa vipi zinatofautiana na dini ya Yesu? Hawana majibu!
Ukiwauliza Wafrika, inawezekanaje watu tu, waliokuja kwenu, wakachukua sayansi na teknolojia yenu na maadili mema, wawashinde ninyi wenye nayo wamiliki (Wafrika)?
Kimsingi mawazo hayo ya UAFRIKA kama yanavyosemwa na Wafrika wenyewe, ni UONGO, hayana ukweli wowote. Kwa mawazo hayo, dhana na kuelekea maisha hayo, tumeukataa UKWELI na kwa sababu hiyo ndiyo maana tuko masikini, hatuna teknolojia, maadili hakuna, wala sayansi, achilia mbali falsafa na teolojia.
Time travel ieleweke kama ni mawazo ya kufikirika ya kisayansi kwamba kusafiri kwa wakati kuna wezekana kwa mwili, ambapo jambo la teknolojia (chombo) linajitokeza kama nguzo muhimu. Maswala kama time na space (two different field), kwa vyovyote vile hayatenganishwi na wazo hili.Kuhusu "Time travel", kufunua "Ufufuko" tutatazama kadiri ilivyo katika Falsafa (Philosophy).Hapa tafadhali... Mfanano na mkanganyiko wake... Uwiano na hata ukinzani wake
Hakika unachoona kama Afrika tulipotea na kuzama mazima ndiyo ukweli ndugu Mshana.umenipa mawazo na mtazamo mpya... Japo bado naona kama Afrika bado kuna mahali tuliyumba na kupotea mazima... Bado nina hisia zenye nguvu mno kuwa Afrika hiyo ya zamani ilikuwa nyingine tofauti kabisa na hii ya leo iliyo utumwani kuanzia fikra mpaka matendo bila kusahau mitazamo