Mpalyanda
Member
- Jan 27, 2021
- 5
- 3
Embu fikiria zamani sana kabla simu kugunduliwa alaf mtu angekuambia kuwa Kuna uwezekano wa kumsikia mtu aliepo mtwara wakati yeye yupo Arusha just imagine lazima ungemwambia uyo mtu kuwa amechanganyikiwa but what happened ndo tunaona leo kimegunduoiwa kifaa na wewe upo Arusha unamskia mtu yupo mtwara. Hvyo nafikiri hyo time traveling inawezekana japo Sasa hiv inaonekana haiwezekan