Jidondofila
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 286
- 105
Acheni kufungana kamba nyie.. mnakaa huko madrassa mnadanganyana haya? Malaika anatembea speed kiasi gani kwa saa? Huyo aliyemfunza huo uchawi ni nani?
Akili yako ni tegemzi mnoo Da vinc.shida ya watu vipofu kama wewe unadhan kila jambo linalohusu speed linapimika kwa kipimo time?Ili kukujulisha pamoja na kukupa uelewa zaidi muda na wakati vipo katika galaxy ya Milkway pekee.Na kazi yake kubwa ni nyezo tu kupimia speed na utambuzi wa nyakati ili kuyakabili mazingira tuliopo.
Labda nikup mfano ili angalau ujione bado mjinga na Elimu ya Anga
Galaxy hii ya milkway tunayoishi INA ndugu zake ambao wapo .na inakadiriwa wapo zaidi ya milioni moja.na umbali wa hii galaxy yetu na jiran yake ni 20bilion miles per second per second.na huyu jirani yetu ana majua miamoja kama hili jua letu na kuna viumbe huko vinauwezo was kuzungukia majua yote kwa muda mchache tu.
Huu ni mfano tu nimekuonyesha na kukupa nusu picha ya kua speed ya mwanga ni ndogo sana vipo vitu vina speed zaid ya Mara 2 ya speed ya mwanga.