safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,168
- 15,850
mkuu ukubali ukatae kuna mambo yapo katika sayansi na kwenye dini yalishaelezwa kitambo sana.Shida ni kubwa sana napoona watu wanachanganya mambo ya Dini na sayansi
Alooo
mtume muhammad ametuelezea kwamba kila mtu anaumbwa katika fuko la uzazi la mama yake siku 40 za mwanzo ni mbegu ya uzazi(baba na mama)
kisha siku 40 za pili ni pande la damu
kisha siku 40 za 3 (120) pande la nyama....
sayansi inaelezea haya mambo hivyp hivyo.
tukiowanisha maelezo ya dini na sayansi yale ambayo yanaendana huwa ukakereka wapi mkuu ?