Specifics please,Hivi inachukua muda gani kupata visa ya Marekani, kwa mtu anayekwenda huko mara ya kwanza? Toka kutuma maombi, kwenda kwenye interview, mpaka kuja kupata (provided docs. zote ziko sawa na hamna kizingiti chochote)?
Na ukishapata, ni dirisha la siku ngapi unapewa kuitumia kabla haija expire (kama huwa ina expire)?
Typical Wait Time (Calendar Days*) for a Nonimmigrant Visa Interview Appointment
Visitors Visas: 2 Days
Student/Exchange Visitors Visas *** (Excludes: A, G, K, and V): 2 Days
All Other Nonimmigrant Visas: 2 Days
Typical Wait Time (Workdays**) for a Nonimmigrant Visa To Be Processed****: 1 Day
The operating word is typical, they can always find a way to make your case non-typical which makes that information almost useless even if it is official.
On top of that nasikia kuna foleni kama wanagawa pesa, is this still the case? If yes, how typical can that be?
Worse, they reserve the right to deny with no explanation.

Kang - haya maelezo umeyatoa kwenye website ya ubalozi wa Marekani Tanzania?
Kama ni ndio, je wanafuata hiyo time frame au huwa kunakuwa na mizengwe inayochelewesha utoaji wa visa?
Halafu watu wakinyimwa wanalia lia kama vile ni haki yao......
kama si haki yao mbona wao wanalilia kuja kwetu?.... na wewe mbona uko huko???????
Hawaji kwenu kuzamia na hata kama wakija hawatakosa wala kupungukiwa chochote. Mimi niko so what...sikunyimwa visa mimi kwani kila kitu kilikuwa mswano. Niliipata baada ya nusu saa tu!!!!
Hivi inachukua muda gani kupata visa ya Marekani, kwa mtu anayekwenda huko mara ya kwanza? Toka kutuma maombi, kwenda kwenye interview, mpaka kuja kupata (provided docs. zote ziko sawa na hamna kizingiti chochote)?
Na ukishapata, ni dirisha la siku ngapi unapewa kuitumia kabla haija expire (kama huwa ina expire)?
Specifics please,
Visa ya aina gani, etc etNaomba kusaidiwa juu ya visa ya uchumba Amerca inaprocess gan? Pls
The operating word is typical, they can always find a way to make your case non-typical which makes that information almost useless even if it is official.
On top of that nasikia kuna foleni kama wanagawa pesa, is this still the case? If yes, how typical can that be?
Worse, they reserve the right to deny with no explanation.
Hata watu wa nchi nyingine nyingi tu wanaitaji visa kuja Tanzania, hivyo nao ni kupanga foleni kupata visa ya kuja Tanzania. Hivyo ni bora mtu kurespect nchi na mahitaji yao.
Cha muhimu ni kujua pia kujieleza, na nchi nyingi zinazoongea English kama 1st language wanapenda mtu ajue lugha pia hata kuelewa mtu anakuambia nini katika maneno ya kila wakati.
Jua form uliyoijaza ndani nje, as wengi wanaandika na wanategemea basi ndio hivyo ni kama interview ya kazi mtu anaandika CV wakati wa maswali hajui kujieleza hata vipangala alivyoandika kwenye CV.
Ni kama visa wengi wanasaidiwa kujaza wanakimbiza kusubmit form bila kukaa chini kuisoma na kujua walichoandika.
Kila kitu unachopeleka wewe kisome ujue as ukiulizwa ujue, pia chochote kingine kinachoendana na ombi lako.
Haya unaenda kutembea, lazima uonyeshe kuna kitu cha kukurudisha wakati fulani. Na kuonyesha kuwa unajiweza kujiangalia unaposafiri hata kama utasema unategemea watu unaoenda kuwatembelea lazima nawe ujiboost itasaidia.
usisite site eti unajibu ili then unabadilisha jibu hapo hapo toa moja, labda ukiulizwa
CHA MUHIMU JIBU UNACHOULIZWA
SIO KUULIZWA SWALI UNAANZA KUJIELEZA NA MAMBO AMBAYO HUJAULIZWA AMBAYO YANALETA MASWALI MENGINE THEN UNASHINDWA JIBU THEN UNABATUA
JIBU UNACHOULIZWA NA SUBIRI WAKUULIZE SWALI
KUMBUKA UNAWEZA KUWA NA MAMBO YOTE WANAYOTAKA THEN UKAWA HUJUI KUJIELEZA.