Interested Observer
JF-Expert Member
- Mar 27, 2006
- 2,660
- 3,039
Sipingi wala sielewi kama kweli huyu jamaa anafanya kazi kujenga nchi yake; siju kwa vigezo vipi na sijawahi kuwa na ineterest kujua. Ila kila mtu anajua kuwa Rais Habyrimana na Rais wa burundi wakitokea kwenye usuluhushi Arusha ndege yao ilitunguliwa na kuwaua hao maRais. Kwenye huo utunguaji wa hiyo ndege Kagame alihusika directly. Baada ya hapo ndipo genocide ikaja. Jiulize: Kwa nini walihitaji kutungua ndege? Na kwa nini kila ukitaka ufanyike uchunguzi yeye anakuja juu? Huoni kwamba ingekuwa sio kutungua ile ndege genocide haingekuwepo?...Kagame hakuanzisha genocide kama mnavyotaka kuamini,ila kama mnataka kuandika upya kilichotokea 1994 ni ruksa,jasusi matatizo ya Congo sio kagame na ukumbuke nchi tano na factions nyingi sana zilipigana Congo ila naona lawama hapa ni kagame tuu,na kwa taarifa yako kina kagame wasingepigana Congo leo rwanda isingekuwepo au ingekuwa somalia nyingine tuu,kagame kaokoa mamilioni ya watu ila wengine mnataka tuamini yeye ndio chanzo cha matatizo,nafikiri mlikuwa mnataka kina kagame waendelee kuwa wakimbizi milele na dikteta mobutu kuendelea kuitawala Congo...kagame ndio waliomwondoa Mobutu ila bahati mbaya wakakosea step na wapuuzi kama Kabila,jungu pigeni tuu ila wanaume wako busy wanajenga nchi yao!