๐—ง๐—ถ๐—บ ๐—ฐ๐—ผ๐—ผ๐—ธ ๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜€๐—ฒ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—บ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐—ด๐˜‚ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ถ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—ผ ๐—ธ๐—ถ๐˜๐˜‚ ๐—–๐—ต๐—ผ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐—”๐—ฝ๐—ฝ๐—น๐—ฒ ๐—ป๐—ถ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ

๐—ง๐—ถ๐—บ ๐—ฐ๐—ผ๐—ผ๐—ธ ๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜€๐—ฒ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—บ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐—ด๐˜‚ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ถ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—ผ ๐—ธ๐—ถ๐˜๐˜‚ ๐—–๐—ต๐—ผ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐˜๐—ฒ ๐—”๐—ฝ๐—ฝ๐—น๐—ฒ ๐—ป๐—ถ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
Apple world _20250803_030702_0000.png


Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Apple CEO Tim cook anaonekana kutoshtushwa na wasiwasi kwamba maendeleo katika AI yanaweza kupindua Utawala iphone ulimwenguni.

Siku ya alhamisi mwandishi mmoja wa aliweza kumpigia simu mkurugenzi huyo wa Apple na kupiga naye stori kadhaa lakini katika stori akamuuliza swali ambalo mkurugenzi huyo wa Apple Wala hakushtushwa kabisa kwani aliulizwa "Vipi kuhusu apple inajiandaa vipi na Matumizi ya AI juu ya simu za smartphone".

Tim cook alijibu shukrani kwa maendeleo ya AI Ulimwenguni lakini maendeleo hayo sio Tishio kabisa kwa vifaa vya Apple alisema. Unapofikiria kuhusu apple basi unapaswa kujua juu ya mambo yake ya ajabu yanayofanya kuanzia kwenye kuunganisha watu kutumia program Mbalimbali, games , kurahisisha mawasiliano , watumiaji kuendesha maisha Yao kupitia vifaa vya Apple hivyo ni ngumu kuipoteza apple kwenye ramani.

Alimalizia kwa kusema sio kwamba hatufikiri kuhusu vitu vingine hapana lakini ulimwenguni bila iphone hautakua na maana yoyote kwani Dunia ni iphone ๐Ÿ‘‹ mkurugenzi huyo alizungumza.

Unasemaje wewe mtumiaji wa vifaa vya android ni kweli Dunia bila iphone sio kitu chocolate ๐Ÿ˜‰
 
Back
Top Bottom