Tillerson anataka kuvunja ushawishi wa China barani Afrika kitu ambacho hakiwezekani

junky

JF-Expert Member
May 11, 2017
413
976
Kwa Miaka mingi China wamekuwa na ukaribu mkubwa na nchi za Africa.Tokea miongo na miongo China imekuwa na influence Africa.

China wamewekeza sana kwenye miundo mbinu kama ujenzi wa reli,madaraja ,barabara ,majengo kwa nchi za ki-Africa na utoaji wa mikopo wa riba nafuu kuliko mataifa mengine ndio maana nchi nyingi za Africa hukimbilia China kukopa.

Reli,barabara,madaraja majengo mengi kwa nchi za Africa zimejengwa na wachina itakuwa uchoyo wa shukran kutoshukuru chink kwa maendeleo haya ya miundo mbinu kwa nchi zetu za Africa ,hizi barabara ,madaraja na zinazongarisha jiji ni China kwa kiasi kikubwa alizojenga tokea miaka mingi zamani hadi sasa ..ukienda Ethiopia ,Djibouti, Uganda,Kenya ,Tanzania, Zimbabwe na nchi nyingi Africa mwekezaji mkubwa wa miundo mbinu ni mchina .90% ya uwekezaji wa China Africa ni kwenye miundo mbinu kuanzia kutoa mikopo na ujenzi..Uchumi wa nchi za Africa umekuwa sharpened na China sababu ofisi za serikali, barabara za lami mijini na vijini ,reli,madaraja zimejengwa na wachina miaka na miaka mpaka kesho.

Nchi za magharibi kila kukicha wanawaza namna ya kuikwamisha influence ya China barani Afrika.Tokea mwaka Jana kwenye majarida ya uingereza ,USA yalikuwa yanaongelea influence ya China Barani Africa na namna China ilivyojizadhatiti Africa ..western wanaumiza kichwa kila kukicha na ili kuthibitisha hili soma habari za magazeti ya uingereza na USA utathibitisha hili...

Us secretary of State Tillerson amezuru Africa na lengo ni kuipiku China barani Africa na kuvunja influence ya China barani Africa tayari ameanza kukachifu ChinAfrica influence, licha ya utoaji wa misaada Africa lakini bado USA imelala barani Africa ni China aliyetawala Africa ..Tillerson amekosoa influence ya China Africa na ameandaa plan ya $513 Milllion kwaajili ya misaada kwa nchi za Africa ili waipiku China kwa influence

1.Bwana Tillerson anasahau kuwa China wana influence kwenye siasa za Africa mfano chama cha kikomunisti cha uchina kina mahusiano na ccm kwa muda mrefu.Katibu mkuu wa ccm bwana kinana mara nyingi anaenda China kwenye chama cha kikomunisti cha uchina na kubadilishana masuala mbali mbali na kuongeza urafiki na pia viongozi wa chama cha ukomunisti cha uchina mara nyingi wanakuja ofisi za Lumumba kubadilishana mawazo na masuala mengine ya ushirikiano.Bila kusahau chama cha ukomunisti cha Uchina wana ushirikiano wa muda mrefu na vyama vya Angola nk.

2.Bwana Tillerson anasahau China amejijenga Africa tangu zamani kipindi cha vugu vugu ya kutafuta Uhuru nchi nyingi zilizopata Uhuru zilisuswa na westerns na ndio maana nchi nyingi zinatumia teknolojia za China kwenye Majeshi ,China alitoa silaha na dhana nyingi za kijeshi kwa nchi za Africa wakati zilikuwa empty hivyo trust hiyo mpaka Leo imekuwa kubwa kwa wachina.Tokea miaka hio ushirikiano wa China na nchi za Africa umekuwa mkubwa mno.

3.Bwana Tillerson anasahau China hana kikwazo kwenye utoaji wake wa mikopo na hana masharti lukuki na riba kubwa ndio maana nchi nyingi za Africa zinazopenda mteremko hukimbilia China pia China Tokea miaka ya 1970 wamekuwa wakijenga Barabara ,Reli ,Madaraja kwa nchi za Africa kwa mikopo nafuu hivyo ni vigumu kuondoa influence ya China barani Africa kwa hivi karibuni

4.Nchi nyingi za Africa zinafanya biashara na China both import na export kuliko nchi zingine mfano Tanzania wana import bidhaa nyingi kutoka

1.Saudia Arabia 51%
2.China
3.India

Na hata kwenye export china yupo top 3

Pia biashara kati ya USA na Africa Tokea 2011 imeshuka kwa kiasi kikubwa sana, kwa mwaka USA na Africa wanafanya biashara chini ya $50M ndio maana USA walikasirika na kusema wataweka vikwazo baada ya magufuli ,museveni na kagame kusema wanazuia uingizwaji wa nguo za mitumba wakati Biashara kati ya Africa na China imepaa mno kwenye import na export kwa mwaka zaidi ya $220M huku kampuni ya huawei ikitawala .

Nchi nyingi za western ni madikteta mfano juzi Rais Magufuli ,Kagame,Museveni walisema watapiga fullstop importation ya nguo za mitumba tayari USA wakasema wataweka vikwazo kwa nchi hizi pia kwenye mkataba wa EPA nchi za EU zilitishia kunyima misaada na vitisho vingine kama Rais wa Tanzania asingetia saini kwa sababu hizi China ataendelea kuwa na influence kwa serikali nyingi za nchi za Africa hawana vikwazo China.

Tillerson amekuja. na plan ya kuondoa Influence ya china Africa na ameandaa mkakati na $513Million ya misaada ila Tillerson anasahau China amekuja na silicon valley na mkutano wake ulifanyika Beijing mwaka jana na kama sijakosea vc suluhu Hassan alihuzuria na Uhuru wa Kenya alihuzuria na kwenye ufunguzi huo wa silicon valley china waliandaa bajeti kubwa na mikakati kuhusu ChinaAfrica .

Bwana Tillerson japo hamjachelewa ila ni vigumu mno kuondoa influence ya China barani Africa ,China ambaye Tokea 70's amejenga mizizi yake Africa na ukizingatia bwana Trump amekashifu nchi za Africa na sera yake mpya ya America First

China will drastically Control Africa kwa miaka mingi ijayo.
 
Pamoja na hayo wana msaada kwa Africa?
hakuna investor anaye invest kwa maslahi yako.
Mugabe alipopewa vikwazo, alikimbilia China lakini alichoambulia hakuna.
mwisho wa siku akajikuta anatumia Dola ya Marekani na siyo Yen ya China.
China mnaipa sifa bure wala si ya kufananisha na Marekani
 
Nimeshangazwa sana na "mentality" yako, yaani ulichoandika ni kama vile ni sawa Africa kuendelea kutawaliwa, ila tu tabu yako kubwa ni kuwa au wawe Wachina au Wamarekani!!! This is too low for me. Nilidhani tuanatakiwa kuwapinga wote("regardless ni China, Urusi, Amerika e.t.c") sababu Africa haiwezi kuendelea kwa kuwategemea hao tunaowaita mabwana wakubwa.!!!

Otherwise kwangu mimi wote ni sawa tu. Wote wanakuja Africa kutafuta fursa na sio kuiendeleza Africa. Haijawahi kutokea na haitakaa iwe hivyo.
 
Marekani chini ya Henry Kissinger ilifanikiwa kuvunja mahusiano baina ya Uchina na Marekani mwaka 1972 na kutanua zaidi The Sino-Soviet Split.

Halafu ni lazima ukumbuke kwamba Africa siyo nchi bali ni bara lenye nchi huru zaidi ya 50. Hivyo Marekani hahitaji Afrika nzima ili kuzorotesha nguvu ya Uchina, anahitaji nchi mstari wa mbele kiushawishi.

Miongo zaidi ya mitatu ishapita alisema Henry Kissinger kwamba ukitaka kutawala Afrika Mashariki, kati na Afrika Kusini basi ishawishi Tanzania. Kule Magharibi kamata Ghana na Nigeria lazima wengine watafuata tu.

Mfano Mzuri unakumbuka Raisi Jimmy Carter alivyotawala waarabu kwa kutawala nchi ya Misri kwa kupitia Camp David Accords 1979 ??? Anwar El Sadat aliahidiwa misaada ya maana akaona kwamba huu mchezo wa kukalia dini hauna faida kwa Misri.

Sidhani kama leo Tanzania au Ghana atakaa kama Marekani atataka kuwekeza mabilioni ya pesa na viwanda nchini kwake! Uchina aliachana kabisa na Urusi baada ya Richard Nixon kuwaahidi kwamba watapewa madili ya viwanda na kuondolewa vikwazo vya kiuchumi na kidiplomasia.

NB: Hapa sasa kama nchi tunatakiwa tujifunze siasa za unafiki, ili tuweze kula kote kote kama Uchina na India walivyofanya wakati wa vita baridi. Inabidi tutengeneze sera zitakazofanya Afrika ifaidike na Wamarekani na Wachina kwa wakati moja.
 
Nimeshangazwa sana na "mentality" yako, yaani ulichoandika ni kama vile ni sawa Africa kuendelea kutawaliwa, ila tu tabu yako kubwa ni kuwa au wawe Wachina au Wamarekani!!! This is too low for me. Nilidhani tuanatakiwa kuwapinga wote("regardless ni China, Urusi, Amerika e.t.c") sababu Africa haiwezi kuendelea kwa kuwategemea hao tunaowaita mabwana wakubwa.!!!

Otherwise kwangu mimi wote ni sawa tu. Wote wanakuja Africa kutafuta fursa na sio kuiendeleza Africa. Haijawahi kutokea na haitakaa iwe hivyo.
Africa kutawaliwa ni inevitable

Kama viongozi wenu wakiumwa wanaenda kutibiwa nje hapo ni nyanja ya utabibu tu mpo hovyo sembuse nyanja zingine?

Leo hii mnashindwa kujenga miundo mbinu mpaka mkope China na tender mtangaze nje mwisho wa siku pesa zina nje

Ufisadi
Uongozi mbovu
Mikataba ya hovyo

Ukweli ndio huu mabwana watatutawala sababu sie tupo nyuma sana kwa kila nyanja ,bado tupo dunia ya 3 ..kuja kufikia angalau level ya kuwa huru labda miaka 50 ijayo

Hii sio mentality bali ni uhalisia
 
Nimeshangazwa sana na "mentality" yako, yaani ulichoandika ni kama vile ni sawa Africa kuendelea kutawaliwa, ila tu tabu yako kubwa ni kuwa au wawe Wachina au Wamarekani!!! This is too low for me. Nilidhani tuanatakiwa kuwapinga wote("regardless ni China, Urusi, Amerika e.t.c") sababu Africa haiwezi kuendelea kwa kuwategemea hao tunaowaita mabwana wakubwa.!!!

Otherwise kwangu mimi wote ni sawa tu. Wote wanakuja Africa kutafuta fursa na sio kuiendeleza Africa. Haijawahi kutokea na haitakaa iwe hivyo.
 
Kwa Miaka mingi China wamekuwa na ukaribu mkubwa na nchi za Africa.Tokea miongo na miongo China imekuwa na influence Africa.

China wamewekeza sana kwenye miundo mbinu kama ujenzi wa reli,madaraja ,barabara ,majengo kwa nchi za ki-Africa na utoaji wa mikopo wa riba nafuu kuliko mataifa mengine ndio maana nchi nyingi za Africa hukimbilia China kukopa.

Reli,barabara,madaraja majengo mengi kwa nchi za Africa zimejengwa na wachina itakuwa uchoyo wa shukran kutoshukuru chink kwa maendeleo haya ya miundo mbinu kwa nchi zetu za Africa ,hizi barabara ,madaraja na zinazongarisha jiji ni China kwa kiasi kikubwa alizojenga tokea miaka mingi zamani hadi sasa ..ukienda Ethiopia ,Djibouti, Uganda,Kenya ,Tanzania, Zimbabwe na nchi nyingi Africa mwekezaji mkubwa wa miundo mbinu ni mchina .90% ya uwekezaji wa China Africa ni kwenye miundo mbinu kuanzia kutoa mikopo na ujenzi..Uchumi wa nchi za Africa umekuwa sharpened na China sababu ofisi za serikali, barabara za lami mijini na vijini ,reli,madaraja zimejengwa na wachina miaka na miaka mpaka kesho.

Nchi za magharibi kila kukicha wanawaza namna ya kuikwamisha influence ya China barani Afrika.Tokea mwaka Jana kwenye majarida ya uingereza ,USA yalikuwa yanaongelea influence ya China Barani Africa na namna China ilivyojizadhatiti Africa ..western wanaumiza kichwa kila kukicha na ili kuthibitisha hili soma habari za magazeti ya uingereza na USA utathibitisha hili...

Us secretary of State Tillerson amezuru Africa na lengo ni kuipiku China barani Africa na kuvunja influence ya China barani Africa tayari ameanza kukachifu ChinAfrica influence, licha ya utoaji wa misaada Africa lakini bado USA imelala barani Africa ni China aliyetawala Africa ..Tillerson amekosoa influence ya China Africa na ameandaa plan ya $513 Milllion kwaajili ya misaada kwa nchi za Africa ili waipiku China kwa influence

1.Bwana Tillerson anasahau kuwa China wana influence kwenye siasa za Africa mfano chama cha kikomunisti cha uchina kina mahusiano na ccm kwa muda mrefu.Katibu mkuu wa ccm bwana kinana mara nyingi anaenda China kwenye chama cha kikomunisti cha uchina na kubadilishana masuala mbali mbali na kuongeza urafiki na pia viongozi wa chama cha ukomunisti cha uchina mara nyingi wanakuja ofisi za Lumumba kubadilishana mawazo na masuala mengine ya ushirikiano.Bila kusahau chama cha ukomunisti cha Uchina wana ushirikiano wa muda mrefu na vyama vya Angola nk.

2.Bwana Tillerson anasahau China amejijenga Africa tangu zamani kipindi cha vugu vugu ya kutafuta Uhuru nchi nyingi zilizopata Uhuru zilisuswa na westerns na ndio maana nchi nyingi zinatumia teknolojia za China kwenye Majeshi ,China alitoa silaha na dhana nyingi za kijeshi kwa nchi za Africa wakati zilikuwa empty hivyo trust hiyo mpaka Leo imekuwa kubwa kwa wachina.Tokea miaka hio ushirikiano wa China na nchi za Africa umekuwa mkubwa mno.

3.Bwana Tillerson anasahau China hana kikwazo kwenye utoaji wake wa mikopo na hana masharti lukuki na riba kubwa ndio maana nchi nyingi za Africa zinazopenda mteremko hukimbilia China pia China Tokea miaka ya 1970 wamekuwa wakijenga Barabara ,Reli ,Madaraja kwa nchi za Africa kwa mikopo nafuu hivyo ni vigumu kuondoa influence ya China barani Africa kwa hivi karibuni

4.Nchi nyingi za Africa zinafanya biashara na China both import na export kuliko nchi zingine mfano Tanzania wana import bidhaa nyingi kutoka

1.Saudia Arabia 51%
2.China
3.India

Na hata kwenye export china yupo top 3

Pia biashara kati ya USA na Africa Tokea 2011 imeshuka kwa kiasi kikubwa sana, kwa mwaka USA na Africa wanafanya biashara chini ya $50M ndio maana USA walikasirika na kusema wataweka vikwazo baada ya magufuli ,museveni na kagame kusema wanazuia uingizwaji wa nguo za mitumba wakati Biashara kati ya Africa na China imepaa mno kwenye import na export kwa mwaka zaidi ya $220M huku kampuni ya huawei ikitawala .

Nchi nyingi za western ni madikteta mfano juzi Rais Magufuli ,Kagame,Museveni walisema watapiga fullstop importation ya nguo za mitumba tayari USA wakasema wataweka vikwazo kwa nchi hizi pia kwenye mkataba wa EPA nchi za EU zilitishia kunyima misaada na vitisho vingine kama Rais wa Tanzania asingetia saini kwa sababu hizi China ataendelea kuwa na influence kwa serikali nyingi za nchi za Africa hawana vikwazo China.

Tillerson amekuja. na plan ya kuondoa Influence ya china Africa na ameandaa mkakati na $513Million ya misaada ila Tillerson anasahau China amekuja na silicon valley na mkutano wake ulifanyika Beijing mwaka jana na kama sijakosea vc suluhu Hassan alihuzuria na Uhuru wa Kenya alihuzuria na kwenye ufunguzi huo wa silicon valley china waliandaa bajeti kubwa na mikakati kuhusu ChinaAfrica .

Bwana Tillerson japo hamjachelewa ila ni vigumu mno kuondoa influence ya China barani Africa ,China ambaye Tokea 70's amejenga mizizi yake Africa na ukizingatia bwana Trump amekashifu nchi za Africa na sera yake mpya ya America First

China will drastically Control Africa kwa miaka mingi ijayo.

China will drastically Control Africa kwa miaka mingi ijayo.”
And then..... you are happy!! Mtumwa wewe
 
Sote ni watumwa na tutatawaliwa na mabwana hawa China au USA kwenye uchumi nk

Labda miaka 50 ijayo angalau tutaweza kujiondoa kwenye utumwa huu

Sio nimefurahi ndio uhalisia wenyewe
 
Pamoja na hayo wana msaada kwa Africa?
hakuna investor anaye invest kwa maslahi yako.
Mugabe alipopewa vikwazo, alikimbilia China lakini alichoambulia hakuna.
mwisho wa siku akajikuta anatumia Dola ya Marekani na siyo Yen ya China.
China mnaipa sifa bure wala si ya kufananisha na Marekani

Kufananaisha kivipi?
 
Kwa Miaka mingi China wamekuwa na ukaribu mkubwa na nchi za Africa.Tokea miongo na miongo China imekuwa na influence Africa.

China wamewekeza sana kwenye miundo mbinu kama ujenzi wa reli,madaraja ,barabara ,majengo kwa nchi za ki-Africa na utoaji wa mikopo wa riba nafuu kuliko mataifa mengine ndio maana nchi nyingi za Africa hukimbilia China kukopa.

Reli,barabara,madaraja majengo mengi kwa nchi za Africa zimejengwa na wachina itakuwa uchoyo wa shukran kutoshukuru chink kwa maendeleo haya ya miundo mbinu kwa nchi zetu za Africa ,hizi barabara ,madaraja na zinazongarisha jiji ni China kwa kiasi kikubwa alizojenga tokea miaka mingi zamani hadi sasa ..ukienda Ethiopia ,Djibouti, Uganda,Kenya ,Tanzania, Zimbabwe na nchi nyingi Africa mwekezaji mkubwa wa miundo mbinu ni mchina .90% ya uwekezaji wa China Africa ni kwenye miundo mbinu kuanzia kutoa mikopo na ujenzi..Uchumi wa nchi za Africa umekuwa sharpened na China sababu ofisi za serikali, barabara za lami mijini na vijini ,reli,madaraja zimejengwa na wachina miaka na miaka mpaka kesho.

Nchi za magharibi kila kukicha wanawaza namna ya kuikwamisha influence ya China barani Afrika.Tokea mwaka Jana kwenye majarida ya uingereza ,USA yalikuwa yanaongelea influence ya China Barani Africa na namna China ilivyojizadhatiti Africa ..western wanaumiza kichwa kila kukicha na ili kuthibitisha hili soma habari za magazeti ya uingereza na USA utathibitisha hili...

Us secretary of State Tillerson amezuru Africa na lengo ni kuipiku China barani Africa na kuvunja influence ya China barani Africa tayari ameanza kukachifu ChinAfrica influence, licha ya utoaji wa misaada Africa lakini bado USA imelala barani Africa ni China aliyetawala Africa ..Tillerson amekosoa influence ya China Africa na ameandaa plan ya $513 Milllion kwaajili ya misaada kwa nchi za Africa ili waipiku China kwa influence

1.Bwana Tillerson anasahau kuwa China wana influence kwenye siasa za Africa mfano chama cha kikomunisti cha uchina kina mahusiano na ccm kwa muda mrefu.Katibu mkuu wa ccm bwana kinana mara nyingi anaenda China kwenye chama cha kikomunisti cha uchina na kubadilishana masuala mbali mbali na kuongeza urafiki na pia viongozi wa chama cha ukomunisti cha uchina mara nyingi wanakuja ofisi za Lumumba kubadilishana mawazo na masuala mengine ya ushirikiano.Bila kusahau chama cha ukomunisti cha Uchina wana ushirikiano wa muda mrefu na vyama vya Angola nk.

2.Bwana Tillerson anasahau China amejijenga Africa tangu zamani kipindi cha vugu vugu ya kutafuta Uhuru nchi nyingi zilizopata Uhuru zilisuswa na westerns na ndio maana nchi nyingi zinatumia teknolojia za China kwenye Majeshi ,China alitoa silaha na dhana nyingi za kijeshi kwa nchi za Africa wakati zilikuwa empty hivyo trust hiyo mpaka Leo imekuwa kubwa kwa wachina.Tokea miaka hio ushirikiano wa China na nchi za Africa umekuwa mkubwa mno.

3.Bwana Tillerson anasahau China hana kikwazo kwenye utoaji wake wa mikopo na hana masharti lukuki na riba kubwa ndio maana nchi nyingi za Africa zinazopenda mteremko hukimbilia China pia China Tokea miaka ya 1970 wamekuwa wakijenga Barabara ,Reli ,Madaraja kwa nchi za Africa kwa mikopo nafuu hivyo ni vigumu kuondoa influence ya China barani Africa kwa hivi karibuni

4.Nchi nyingi za Africa zinafanya biashara na China both import na export kuliko nchi zingine mfano Tanzania wana import bidhaa nyingi kutoka

1.Saudia Arabia 51%
2.China
3.India

Na hata kwenye export china yupo top 3

Pia biashara kati ya USA na Africa Tokea 2011 imeshuka kwa kiasi kikubwa sana, kwa mwaka USA na Africa wanafanya biashara chini ya $50M ndio maana USA walikasirika na kusema wataweka vikwazo baada ya magufuli ,museveni na kagame kusema wanazuia uingizwaji wa nguo za mitumba wakati Biashara kati ya Africa na China imepaa mno kwenye import na export kwa mwaka zaidi ya $220M huku kampuni ya huawei ikitawala .

Nchi nyingi za western ni madikteta mfano juzi Rais Magufuli ,Kagame,Museveni walisema watapiga fullstop importation ya nguo za mitumba tayari USA wakasema wataweka vikwazo kwa nchi hizi pia kwenye mkataba wa EPA nchi za EU zilitishia kunyima misaada na vitisho vingine kama Rais wa Tanzania asingetia saini kwa sababu hizi China ataendelea kuwa na influence kwa serikali nyingi za nchi za Africa hawana vikwazo China.

Tillerson amekuja. na plan ya kuondoa Influence ya china Africa na ameandaa mkakati na $513Million ya misaada ila Tillerson anasahau China amekuja na silicon valley na mkutano wake ulifanyika Beijing mwaka jana na kama sijakosea vc suluhu Hassan alihuzuria na Uhuru wa Kenya alihuzuria na kwenye ufunguzi huo wa silicon valley china waliandaa bajeti kubwa na mikakati kuhusu ChinaAfrica .

Bwana Tillerson japo hamjachelewa ila ni vigumu mno kuondoa influence ya China barani Africa ,China ambaye Tokea 70's amejenga mizizi yake Africa na ukizingatia bwana Trump amekashifu nchi za Africa na sera yake mpya ya America First

China will drastically Control Africa kwa miaka mingi ijayo.
Bandiko lako halina ukweli ni la kufikirika zaidi kuliko uhalisia.
 
Back
Top Bottom