Till you love yourself... Inawezekana?

nitausikiliza huo wimbo The Boss na hizo lyrics zake. Mimi najipenda sana siyo tu kwa hisia&vitendo hata kama kuna dhoruba kadhaa nazipitia/nimezipitia. Hii hainifanyi kutompenda mtu mwingine madhubuti ila naamini mimi ndiyo namba moja kwenye maisha yangu.
 
Usije kuwa na tatizo la kujipenda kupita kiasi..
ambapo kila kitu kianzie kwako kwanza lol
 
nakumbuka kuna wakati hapa kulikuwa na thread mtu anajihesabia mara ngapi amekuwa approached na wakaka kwa wiki, nikawa najiuliza maana ya hiyo statement sikuipatia jibu sahihi

Dah... Hii ni obsession, tena nadiriki kusema obsession mbaya... Kuhesabu umetongozwa na wangapi? Huyu mtu lazima anakuwa na low self esteem ama attentions seeking issues.
 
hivi dawa na low self esteem ni nini??

Kuna mtu anahangaika sana, tatizo hatujui dawa yake.

Kongosho sina hakika kama jibu laweza kuwa dawa ya huyo mtu unamzungumzia kwamba anahangaika... Ila low self esteem sijui kama sawa, ila naweza sema ni kutokujiamini...
 
ndio huko kutojiamini kulikopindukia

kila saa anataka mtu wa kuwa naye karibu, anachosha sana.

Kwa jinsi ulivoongea ni kama inakugusa wewe moja kwa moja... Kongosho una hakika umeliangalia hili swala kwa undani? Hivi mtu kutaka kuwa na wewe karibu ni kutojiamini ama tu labda kwa namna moja ama nyingine anapenda kampani yako na kila uwezapo anahitaji uwe karibu?

Sijui kama nakosea... Kama huyo mtu anakuchosha ina mana umefika stage ambayo humtaki kuwa nae karibu, na ukitaka unataka pale ambapo ni convienience yako... Kiasi kwamba your convienience yaweza kuwa after a month na yeye after a day, hapo lazima tu mkwazane. Ni kiasi tu cha ku man up na kumwambia ukweli kuwa anakuchosha. That ought to work for the better..
 
Pamoja na kuwa na mie ni miongoni mwa wanaochoshwa but kiukweli ana tatizo.

Sijui nisemeje au niiwekeje.

Ulishawahi ona mtu hawezi kukaa kwenye jumuiya bila ya mtu wa kuegemea??

Akiondoka Asha, anamng'ang'ania Zakia.

Akisafiri hata kwenda trip ya wiki mbili lazima atafute mtu wa kuegemea?? Inasababisha analiwa liwa ovyo tu. Na ni mama wa watoto kadhaa??

Lakini mie kwa 'observations' zangu tu nimehisi ni self esteem.

Ulishawahi kaa na mtu anapenda kujilinganisha na wengine mapungufu yao ili ajifariji?? 24/7.

Anyway, labda namwangalia sana.

Nadhani hulka watambua kuwa hulka za wanadamu zatofautiana. Huyo mtu ambae wewe wamuongelea kwa tabia ulizoorodhesha hapa ni beyond low self esteem.. Sio mtaalam but naamin hata matibabu yake hapo huyo saikologist inabidi awe HASA Professional...

Kutaka kuzungukwa na watu kila mara hilo ni tatizo kubwa sana... Hata hivo umegusa mawili hapo, ina maana anapenda kuzungukwa na watu alafu ni mtu ambae hawezi ishi bila rafiki wa kimapenzi, mtu wa namna hio toka alionja kufanya mapenzi hajawahi kaa break bila rafiki... bahati mbaya sana kwa tabia aliyonayo ni ngumu sana kudumu katika mahusiano, mana hata mpenzi ni ngumu kuwa nae 24/7 (kazi itafanywa saa ngapi?)

On top of that kila akutanapo na mtu wa chini ya viwango ndio furaha yake... Infact hili nimeliongelea kwenye post yangu ya kwanza ya hii thread page iliyopita. Huyu ndio yule ambae Neyo alimlenga. Tuombe wewe Kongosho uwe Neyo wake and love hadi aji love mwenyewe...
 
Napita tu... naona thread imesha fika mbali,
labda hata nilio taka kusema yamesha semwa
 
My mwali you good dear? Haijalishi kama tumefika mbali... Kuna tatizo hapa unaweza kuwa na msaada for I know you are good in this. Kongosho ana mtu ambae anamuonea huruma kuwa tabia zake ni za ovyoo, hebu msome hapo juu na you may assist in the matter. Hata hivo nimeshangaa sana kwa yeye kuweza mvumilia huyo mtu anae mkera kiasi hicho to that extent... It maybe s/he means a lot... It maybe just out of curiosity, ila kubwa kuliko yote to me naona ni interesting case...

Nipe senti zako mbili...
 
Pamoja na kuwa na mie ni miongoni mwa wanaochoshwa but kiukweli ana tatizo.

Sijui nisemeje au niiwekeje.

Ulishawahi ona mtu hawezi kukaa kwenye jumuiya bila ya mtu wa kuegemea??

Akiondoka Asha, anamng'ang'ania Zakia.

Akisafiri hata kwenda trip ya wiki mbili lazima atafute mtu wa kuegemea?? Inasababisha analiwa liwa ovyo tu. Na ni mama wa watoto kadhaa??

Lakini mie kwa 'observations' zangu tu nimehisi ni self esteem.

Ulishawahi kaa na mtu anapenda kujilinganisha na wengine mapungufu yao ili ajifariji?? 24/7.

Anyway, labda namwangalia sana.

Huyu mtu yupo officin kwenu au hapa jf?
 
Wengine bila kumpata mtu anayeweza kuwapa sense of being beutiful and lovable hawawezi kujipenda wenyewe. Wanataka mtu awaonyeshe njia ili wafuate.
 
My mwali you good dear? Haijalishi kama tumefika mbali... Kuna tatizo hapa unaweza kuwa na msaada for I know you are good in this. Kongosho ana mtu ambae anamuonea huruma kuwa tabia zake ni za ovyoo, hebu msome hapo juu na you may assist in the matter. Hata hivo nimeshangaa sana kwa yeye kuweza mvumilia huyo mtu anae mkera kiasi hicho to that extent... It maybe s/he means a lot... It maybe just out of curiosity, ila kubwa kuliko yote to me naona ni interesting case...

Nipe senti zako mbili...

Huyu mtu yupo officin kwenu au hapa jf?
Huyo mtu yupo humu humu JF, na ni mimi hapa
I contently need a friend to tell me I will be fine,
they love me, I am a special girl etc. inanisaidia sana
Hadi sasa, alhamdulilah, volunteers hawajakosekana
 
You are a beautiful human being.....
humble people are blessed people..
 
Wengine bila kumpata mtu anayeweza kuwapa sense of being beutiful and lovable hawawezi kujipenda wenyewe. Wanataka mtu awaonyeshe njia ili wafuate.

Naamini kuwa kila mwanadamu once in a while ni vizuri kusifiwa... Inakuwa kama kumwagia maji kwenye bustani nzuri ya maua, hata hivo haitakiwi wala haimaanishi kuwa hayo maji yanatakiwa 24/7. Ndahani naamini ni nzuri kuwa kuna wakati wewe mwenyewe ukijitafakari unajikubali na kusema "inshallah, Mwenyezi Mungu hakunisahau.. hata mimi wamo" haijalishi ni kitu gani wajikubali, iwe mwili, ujuzi, mawazo, mtazamo ama lolote lile. Itokeapo huwezi jifurahia bila kuambiwa then hilo kwa kweli ni tatizo... That is what i think...

Huyo mtu yupo humu humu JF, na ni mimi hapa
I contently need a friend to tell me I will be fine,
they love me, I am a special girl etc. inanisaidia sana
Hadi sasa, alhamdulilah, volunteers hawajakosekana

Mwali I love you...
 
Naamini kuwa kila mwanadamu once in a while ni vizuri kusifiwa... Inakuwa kama kumwagia maji kwenye bustani nzuri ya maua, hata hivo haitakiwi wala haimaanishi kuwa hayo maji yanatakiwa 24/7. Ndahani naamini ni nzuri kuwa kuna wakati wewe mwenyewe ukijitafakari unajikubali na kusema "inshallah, Mwenyezi Mungu hakunisahau.. hata mimi wamo" haijalishi ni kitu gani wajikubali, iwe mwili, ujuzi, mawazo, mtazamo ama lolote lile. Itokeapo huwezi jifurahia bila kuambiwa then hilo kwa kweli ni tatizo... That is what i think...

Mwali I love you...
Ni muhimu AshaDii ila kwangu binafsi, life has taught me to be a combatant so I know I can find my way for something I need or want without getting any special favor/boost from other people...it is a strange life!
 
Back
Top Bottom