Wazee wa marketing njooni mumsaidie huyu mdau

Nime ku PM mkuu.Wadau poleni kwa ufupi wa Tangazo.
Mosi, tuna import na export bidhaa kuja China na kutoka nchi mbalimbali, ikiwapo Tanzania. Tupo nchini China.
Tunatafuta wadau wa kudumu watakaokuwa tayari kununua bidhaa zetu na kutuuzia bidhaa zao kwa bei nzuri.
Part A:
Tuna export bidhaa nyingi, kama vile Tiles( chooni, bafuni, vyumbani, n.k) na Bati(zenye migongo mipana ) za rangi mbali mbali. Tunazo bidhaa nyingi, lakini tunapendelea kupata wadau wa bidhaa za ujenzi kwanza.
Bei zipo katika makundi ya aina mbili:
Unawezachagua kundi la bei unalotaka wewe kulingana na uhitaji wako.
- Bei ya hapa China
- Bei ya Tanzania.
Hatuuzi kwa reja reja.
Part B:
Tunakaribisha wadau wa uhakika wanaweza ku supply mbao, korosho, vinyago & ngozi za ngombe na wanyama pori.
Tupatie bei zako kupitia PM.
Mnakaribishwa.
jamani nahitaji ila sielewi how to pm help please am a new member in this forum

Wadau poleni kwa ufupi wa Tangazo.
Mosi, tuna import na export bidhaa kuja China na kutoka nchi mbalimbali, ikiwapo Tanzania. Tupo nchini China.
Tunatafuta wadau wa kudumu watakaokuwa tayari kununua bidhaa zetu na kutuuzia bidhaa zao kwa bei nzuri.
Part A:
Tuna export bidhaa nyingi, kama vile Tiles( chooni, bafuni, vyumbani, n.k) na Bati(zenye migongo mipana ) za rangi mbali mbali. Tunazo bidhaa nyingi, lakini tunapendelea kupata wadau wa bidhaa za ujenzi kwanza.
Bei zipo katika makundi ya aina mbili:
Unawezachagua kundi la bei unalotaka wewe kulingana na uhitaji wako.
- Bei ya hapa China
- Bei ya Tanzania.
Hatuuzi kwa reja reja.
Part B:
Tunakaribisha wadau wa uhakika wanaweza ku supply mbao, korosho, vinyago & ngozi za ngombe na wanyama pori.
Tupatie bei zako kupitia PM.
Mnakaribishwa.
Cheki tangazo nimeweka sawa. Nashukuru kwa ushauri.
mkuu wewe uko wapi Na nitakupataje?
Mimi niko DAR!