TIKTOK Imeweka Mfumo wa Voice Call ๐Ÿ“ž

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,293
Reaction score
2,620


TikTok inataka kugeuka kuwa Whatsapp ๐Ÿ‘‹, baada ya kuleta feature ya VOICE CALLS ndani ya DM! ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ“ž

Ndiyo! Badala ya kutoka TikTok kwenda WhatsApp kupiga simu, baadhi ya watumiaji wameanza kuona kitufe cha kupiga audio call moja kwa moja kwenye DM za TikTok. ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ



Na hii ni hatua nyingine ya TikTok kuifanya app iwe zaidi ya sehemu ya kuangalia videosโ€”unaweza ku-chat, kushare content na sasa kupiga simu! ๐Ÿ˜ณ



โš ๏ธ kumbuka Kwa sasa feature hii bado inaonekana kuwa kwenye testing/rollout ya hatua kwa hatua, hivyo huenda usiione kwenye akaunti yako bado.

Je! Ni kweli TikTok anaweza kushindana na WhatsApp? ๐Ÿค”๐Ÿ“ž
 
Upigaji simu utakuwa ni wa kudangiana tu, wadada wenye makalio makubwa hakika watakuwa na wateja wengi sana wa kuwapigia simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ