Tiketi ya kupendwa sio kuhonga. Twende na mwanadada happy

Mzee kwani wewe unakasoro gani hadi utumie pesa kitu ambacho unatakiwa upate bure maana naona umekazania kutoa pesa
😀.

Kwani wanaotumia maneno yao kumpata mwanamke wana kasoro gani mpaka watumie maneno ?😀

Wanaotumia uhandsome wao wana kasoro gani mpaka watumie uhandsome kuwapata wanawake ?
 
Ila kumbukeni wakati nyie mnahangaika ili mpate penzi lazima muwe na pesa kuna wenzenu wanateleza tu na mambo mengine yanaenda. Endeleeni kuumia si mnazani kuumia sifa
Anaetumia pesa anaetumia nani ana uhakika wa kumpata mwanamke? Nani amaishi kama mtumwa kwenye mahusiano? Nani yuko kwenye risk ya kupigwa chini akaenda kunywa simu akapta pressure na shinikizo la moyo?

Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
 
uyo Happy kaandika kuchangamsha kijiwe,
hakuna mwanamke asiependa kupewa/kuhongwa pesa

atajifichaficha mwanzoni lakini baadae makucha yatajionesha tu
 
Wanaume mnisikie!
Unapotumia Fedha kama chambo cha kumpata binti ujue kuna haya mambo mmawili
1. Wewe ni mshamba usiyejiamini na usiyejua namna ya kuzungumza,
2. Wewe ni mshenzi unayemlinganisha mwanamke na bidhaa

Sasa ukitapeliwa unaanza malalamiko.

Mwanaume anayejiamini, anayejua anataka nini HATUMII FEDHA kama chambo. Husimama yeye kama yeye na sio kujificha nyuma ya fedha.

Kimsingi mnawageuza wanawake kama chombo mnapotaka kuwanunua kwa vipande vya fedha. Hii ni dharau kubwa sana, sijui kwa nini wanawake wanakubali kudharauliwa kwa kukubali kununuliwa kama soksi... Ikichakaa inatupwa. Mnasema, 'mwanamke nakupa kila kitu, bla bla bla...' kisa umemalizia fedha zako hapo ukidhani zitakusaidia

Mjue kuwa mwanamke bora thamani yake hailinganishwi na chochote. Zaidi sana ni heshima na upendo ndio vyatakiwa. Utampa fedha na kesho yake anatorokea kwa asiyempa fedha. Unalaani wala laana haimpati kwa kuwa ulidhani ananunulika kwa fedha.

Muache kutumia fedha kama chambo cha kupata penzi. Iko wazi kuwa mwanaume HAMPI mwanamke fedha kama haoni dalili ya kupata anachotaka. Anapotoa fedha ni kama anarahisisha mambo, aweze kupata sababu ya kudai anachotaka. Na ndio maana akitoswa analalamika

Msikilize mpenzi wako, mpe muda wako, msifie, jiamini ukiwa naye mbele za watu, Mwombee, mchekeshe, mtulize, mlinde. Usifanane na wanaorusha hela wanadhani zitafanya kila kitu. Wapo mabilionea, wanahonga na hawapati mke.


Kama mwanamke kaongea wewe ni nani ubishane nae.....?


USIMPE MWANAMKE FEDHA
Ni hayo kwa leo.
️Bibi Happy Wa Joseph
This lengthy epistle would only make sense in ideal world but in our real world where women have constantly proved to be materialistically obsessed, it doesn't make sense at all.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom