tiGO wanajali kweli au ndio danganya toto?

tiGO wanajali kweli au ndio danganya toto?

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,350
Nimetembelea ukurasa wao wa facebook leo, nikakutana na fomu ya kujaza malalamiko... Nimejaza kilichokuwa kikinisibu, ndo nangoja muujiza wao! Bofya hapa
 
Eti wanatoa sms 3 na 2dk kwa wote watakaojaza form. Toka lini malalamiko yakalipiwa.
 
Eti wanatoa sms 3 na 2dk kwa wote watakaojaza form. Toka lini malalamiko yakalipiwa.

hako ka'zawadi kenyewe ni mpaka wafike ma-fans 25'000. Wasipofika imekula kwenu...
 
Back
Top Bottom