Mimi natumia tigo LTE hakuna kitu ... Nafikiria kuhamia haloteli.. Tigo internet itakuboa tu kaka.. Badili line kama hujaitumia kwa muda mrefu hamia halotel.. Mimi nimetumia tigo miaka kama sita kwa hio ndio maana inakuwa ngumu kuhama ila kuna siku tu nikishaweka mambo yangu sawa nitatupa hii line....