rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,057
- 25,698
ni kweli haya makampuni yanawaibia wateja kwa kujitangazia huduma ambazo hazipo kama wako 4g wagawe line kwa yeyote anayetaka waache usaniiTCRA wamelala..... hawapimi kiwango na ubora wa huduma anaoupata mteja kutoka kwenye makampuni yanayotoa huduma za simu
4G gani hiyo inazidiwa karibu na mitandao yote ,ila cjui kwa zantel na smartUnaenda kwenye ofisi zao na kuwaambia nataka line ya 4G, unajaza form ya kupotelewa line ili ukose ushahidi wa kuwashitaki.
Ati wanajidai kuwa wao wana database ambayo inatambua simu zinazokubali 4g yao. Nahisi Sio kweli!!
Mnajihangaisha tu. 4G ya uhakika isiyo na kwikwi ni ya TTCL tuNdugu yangu kaenda kwa ofisi yao wakamwambia lete simu yako tuangalie kwenye database yetu!! Oooh yes simu yako inakubaliana na 4g yetu(4g ya tigo magumashi inachagua simu).Tangu posta mpaka mwenge hakupata 4g alipofika mlimani city akapata.Alipotoka pale basi 4g ikapotea!!!!!!. .............................................................
Hakuna hawako sawa tigo 4G ni mambo ya biashara tuTigo 4G iko vizuri sana mkuu, basi simu yako ndo tatizo.
Hapa tabata pia haisomi hata mtandao... Ni emergency calls only!!!Mkuu mimi nakaa Ubungo 4G haisomi.
Kwanza 4G inatakiwa iandike LTE mkuu ndo maana nikawaambia hizo simu zenu yaweza kuwa ndo tatizo, mie iko vizuri sana voda ndo inazingua, coverage yake ni ndogo sana.Hakuna hawako sawa tigo 4G ni mambo ya biashara tu
Angalia picha hapo namna inavyosumbua na niko kinondoni
Dah aisee yaani mkuu mpaka iandike LTE..!?Kwanza 4G inatakiwa iandike LTE mkuu ndo maana nikawaambia hizo simu zenu yaweza kuwa ndo tatizo, mie iko vizuri sana voda ndo inazingua, coverage yake ni ndogo sana.