Tigo wabuni wizi mpya!

Tigo wabuni wizi mpya!

Sirm

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
561
Reaction score
370
Tangu jana nimejikuta nikibaguliwa kwenye mtandao huu wa tigo kwa kunipandishia gharama za muda wa vifurushi tofauti na wenzangu!

Vifurushi zamani vilikuwa vinaanzia 450 kuendelea lakini tangu juzi kifurushi cha chini tigo-tigo ni kuanzia 750.

Wakimaanisha kuwa kama nataka kuwasiliana ninunue vocha kuanzia 1000/= Tsh.

Nimewapigia wananijibu kua inatokana na matumizi yangu wakati mimi vocha na weka kwa wiki si zaidi ya mara tatu tena za 500!

Tena wakaongeza kua kama ninamalalamiko niende makao makuu yao!!

Hii imekua kwangu ni maajabu familia yangu na marafiki zangu wote vifurushi vyao bei ni ile ile ya zamani mimi tu ndo wameniona Dangote!

HUU NI UONEVU JAMANI!
 
Mimi kwanza hawataki kunikopesha kifurushi, Pili nikiweka vocha ya buku niunge kifurushi cha 999 naambiwa salio halitoshi hata kama nina 1200.
 
Hamia airtel.
 
Wanachonikera hawa jamaa ni kupandisha gharama zao kimyakimya. Hivi kuna ubaya gani ukiwataarifu wateja wako kuwa bei ya huduma zako zimepanda na kwa kiasi gani?
 
Tangu jana nimejikuta nikibaguliwa kwenye mtandao huu wa tigo kwa kunipandishia gharama za muda wa vifurushi tofauti na wenzangu!

Vifurushi zamani vilikuwa vinaanzia 450 kuendelea lakini tangu juzi kifurushi cha chini tigo-tigo ni kuanzia 750.

Wakimaanisha kuwa kama nataka kuwasiliana ninunue vocha kuanzia 1000/= Tsh.

Nimewapigia wananijibu kua inatokana na matumizi yangu wakati mimi vocha na weka kwa wiki si zaidi ya mara tatu tena za 500!

Tena wakaongeza kua kama ninamalalamiko niende makao makuu yao!!

Hii imekua kwangu ni maajabu familia yangu na marafiki zangu wote vifurushi vyao bei ni ile ile ya zamani mimi tu ndo wameniona Dangote!

HUU NI UONEVU JAMANI!

Kwahii na sie tuliohuku simiyu tuje makao makuu!!!!???
 
Hawa jamaa wazushi sana, mi sijawahi kujiunga na upuuzi wao wowote lakini kila nikiweka vocha wananitumia msg ya nyota ya leo na clouds tv na kunikwangulia mshiko wangu, siku hizi sinunui vocha najiunga moja kwa moja toka tigopesa hawana tena cha kukata wananisumbua na msg za salio lako halitoshelezi.
 
Mimi kwanza hawataki kunikopesha kifurushi, Pili nikiweka vocha ya buku niunge kifurushi cha 999 naambiwa salio halitoshi hata kama nina 1200.
Tigo ni wezi na wana zawadi zao za wizi.Wanakupa gb 5 halafu zinaisha baada ya dak 5.ni wezi-wakubwa.Bora waseme hamna zawadi sie sio watoto na wala hatuishi kwa zawadi za kihindi tena mkome na vizawadi vyenu uchwara!!
 
Wakuu hyo tisa kumi
Ni kwenye michezo yao
Hasa huu wa tigo pesa
Wakuu hao wanaoshinda ni
Usanii mtupu! Ki ukwel
Tigo ni mataperi wazur
 
Wakuu hyo tisa kumi
Ni kwenye michezo yao
Hasa huu wa tigo pesa
Wakuu hao wanaoshinda ni
Usanii mtupu! Ki ukwel
Tigo ni mataperi wazur
 
Kwahii na sie tuliohuku simiyu tuje makao makuu!!!!???

Hawa wajinga utawaweza hawa...
Niliwahi poteza simu nikahangaika ku-renew line ya airtel ni fasta tu na huduma nikaendelea pata ila tigo nikahangaika mwisho wa siku wakaniambia niende Makao Makuu wkt huo niko Arusha....

Utafikiri watanirudishia nauli....
 
Tigo sometime washeeeeeenz....wanafkr kila mtu yupo dar
 
Tigo ni wezi ila hii mijamaa ya
vodacom ni mijambazi.
 
Tigo mpite hapa!
Mmezidi kuibia watu na huduma zenu za mitego mitego + riba!
...
Eti mtu akitaka kujiunga na sijui balaa gani zile kwa *148*01# afu kuna na hii *149*01#!!! Hizo nö, 1 ya kina kabang na nyengine ya mkopo!
...
Demu wako akikubipu ukikurupuka hapo na kujichanganya tigo wanakunyoa! Na wizi wao upo hapa: hizo huduma nyengine ni lazima uconfirm but hiyo ya mkopo wao wa riba, hainaga kunfirm! Ukijichanganya umeliwa!
...
Chezea tigo weye!
 
Mimi kwanza hawataki kunikopesha kifurushi, Pili nikiweka vocha ya buku niunge kifurushi cha 999 naambiwa salio halitoshi hata kama nina 1200.

Kweli mkuu ukiwa na 500 unataka kujiunga na bundle ya 450 wanakuambia salio lako halitoshi sa sijui wana maana gani? huu mtandao ushakua wa ki pimbi sasa!!
 
tiGO ndio maana jina lao linatumika kama tusi . Huduma zenu za kiujanja ujanja..

Kuna kipindi wife kila akiweka salio wanamkata 750/=. Tukiwapigia simu wanadai alikopa wakati si kweli.... Mwisho ilimlazimu kubadili line...

NB;
Tanzania mitandao yote ni wezi . Ila tiGO na Voda mmezidi.
 
Tangu jana nimejikuta nikibaguliwa kwenye mtandao huu wa tigo kwa kunipandishia gharama za muda wa vifurushi tofauti na wenzangu!

Vifurushi zamani vilikuwa vinaanzia 450 kuendelea lakini tangu juzi kifurushi cha chini tigo-tigo ni kuanzia 750.

Wakimaanisha kuwa kama nataka kuwasiliana ninunue vocha kuanzia 1000/= Tsh.

Nimewapigia wananijibu kua inatokana na matumizi yangu wakati mimi vocha na weka kwa wiki si zaidi ya mara tatu tena za 500!

Tena wakaongeza kua kama ninamalalamiko niende makao makuu yao!!

Hii imekua kwangu ni maajabu familia yangu na marafiki zangu wote vifurushi vyao bei ni ile ile ya zamani mimi tu ndo wameniona Dangote!

HUU NI UONEVU JAMANI!

pole kwa kuwa bado uko kwenye mtandao usiojali wateja.

mm nimehamia kwa baba lao airtel, huku ni full kujirusha gharama ni nafuuu kuliko mitandao yote.

wizi mwingine ambao TIGO wanao ni kukukopesha sallio hata kama hujaomba, ukiwaeleza juu ya tatizo hilo wanakueleza kuwa ulikopa na kama hukukopa basi nenda makao makuu. ukienda makao makuu ni usanii mtupu, utaambiwa tumepokea malalamiko yako tutakujibu lakini feedback ni zero.

nawasihi gf wote mhamie airtel baba lao mitandao yote

karibuni, acha kubeep piga simu hata watu washangae wakidhani una fedha nyingi
 
Kuna siku nilienda duka la Tigo Mlimani City na kuomba namba inayofanana na ya laini yangu ya mtandao mwingine. Mmoja wa wahudumu bila kusita aliniambia namba hiyo tayari ina mtu. Nikampa orodha ya namba nyingine kama kumi, lakini kila nilipotaja aliniambia ina mtu. Hatimaye nilikata tamaa na kuamua kuondoka, lakini jamaa aliniita na kuniambia anaweza kunifanyia mpango nikapata moja ya namba nilizomtajia. Nilijua alitaka nitoe rushwa, lakini nilimwambia nimebadlisha mawazo. Nikaenda zangu Kariakoo na kupata namba ile ile niliyoitaka kwa shilingi 2,000 tu kwa wale akina dada wa 'miavuli'.
 
Hamia mitandao mingine u-experience wizi wa namna nyingine.

Makampuni yote ya simu za mikononi ni wezi.
 
Back
Top Bottom