haha
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 1,400
- 1,628
Aiseee wao kwa 1500/ utapata 750 mb,dakika 145 SMS za kumwaga hii ni kwa week
Mgao wao ukoje mkubwa
Mgao wao ukoje mkubwa
Naitumia nusu mwaka sasa,,,ila tangia juzi hausomi,,, kabisaunafanya seting ya minara chif
Hii ya halotel unapataje menu yake. Nataka hiyo Tsh 10,000 15GB kwa siku 30(mwezi 1)TTCL bandika bandua 1,000= 1gb 24 hrs
8gb 5,000= 7 days,
HALOTEL mega bando 1,000= 1gb 7days,,,,,10000 15gb 30 days.
Nenda Halotel mkuuHao ndio wanyonya damu Vodacom ,Leo 25/04/2019 Sasa hapo nafuu ipo wapi...nishaurini pa kuhamia wakuuView attachment 1081258View attachment 1081259
Kwa muda gani?
Hakina ukomo wa muda.Hadi MB
ziishe.
Hakina ukomo wa muda.Kwa muda gani?
Punguza kupenda offerMwanzoni ilikuwa buku 2 unapata 1.2gb na muda wa maongezi kibao na sms 1500 juu kwa muda wa siku 7 ila kuanzia juzi wamepandisha eti 1500 1gb na muda maongezi na sms kwa siku 3 tuu na 5000 3gb na muda wa maongezi na sms kibao..
Sasa kwa hali hii hamni pati tena
Mshaniudhi,na saa hivi kuna ofa yao ya sh.2000 1gb siku 7 unatumia watsap,instgm,twiter, na fb ila j.f ukiingia inagoma hili bando halisapoti roho inaniuma sana .
Airtel wapo vizur kwenye madakika sana ,ila data wako vibaya sana ,,
Kifurushi chao kizuri cha data ni amsha popo tu
hamia airtel hutakaa ujilaumu mkuuDaa itabidi niuze sim sasa hamna namna maana nikiiona wakati siwezi kununua bando machungu yatanizidi
Airtel wapo vizur kwenye madakika sana ,ila data wako vibaya sana ,,
Kifurushi chao kizuri cha data ni amsha popo tu
Amia aitel *149*99# dial kupata 1gb siku 3 kwa 1000/= un offer
*148*99#
TTCL bandika bandua 1,000= 1gb 24 hrs
8gb 5,000= 7 days,
HALOTEL mega bando 1,000= 1gb 7days,,,,,10000 15gb 30 days.