Tigo sasa hii ni sifa

Voda tumechapika na maisha mpk tumepauka.. kila kona tunakula za uso,
Sasahivi bando la usiku limeshushwa kutoka 4gb paka 2gb kwa 1500.
 
Mbona walipandisha kitambo tu hawa jamaa kutoka 1500 wiki university offer hadi 2000 wiki na hiyo 1500 ni siku ,3
 
Mimi wamenipa ofa moja ndio nimewaelewa tangu nilipo jiunga na tigo mwaka 2009, kwa buku mbili napewa gb1, dk.200 (150 ni kupiga tigo -tigo, 50 kwenda mitandao yote), sms 2000 kwa siku saba.
 
TTCL bandika bandua 1,000= 1gb 24 hrs
8gb 5,000= 7 days,
HALOTEL mega bando 1,000= 1gb 7days,,,,,10000 15gb 30 days.
Mtandao wa hivyo kabisa unashika unashika mita nikiwa mjini unashika nikiwa home haushiki
 
Mimi wamenipa ofa moja ndio nimewaelewa tangu nilipo jiunga na tigo mwaka 2009, kwa buku mbili napewa gb1, dk.200 (150 ni kupiga tigo -tigo, 50 kwenda mitandao yote), sms 2000 kwa siku saba.
Hii offer bado ipo
 
Back
Top Bottom