Tigo sasa hii ni sifa

Hii ya halotel unapataje menu yake. Nataka hiyo Tsh 10,000 15GB kwa siku 30(mwezi 1)
Nitashukuru sana ukinipe code za kuingiza
Nimejaribu
1. *148*55# na pia 2. 148*66# bila kupata hiyo menu.
Hii unajiunga kupitia halopesa *150*88# kisha 3 kisha 2 then unafanya choice kama uonavyo hapo
Screenshot_2019-04-25_231116.jpeg
 
TTCL bandika bandua 1,000= 1gb 24 hrs
8gb 5,000= 7 days,
HALOTEL mega bando 1,000= 1gb 7days,,,,,10000 15gb 30 days.
Yani sijui hizi laini nmezitupa wapi, Tigo ni matapeli mno.
 
Tigo mbona wapo poa tuu mkuu....
Tshs 10,000/= dakika 1,000 tigo tigo...dakika 70 mitandao mingine......so, jumla dakika 1,070 .....msg kibao.....10 Gb kwa siku 30 unafurahia maisha
 
Tigo mbona wapo poa tuu mkuu....
Tshs 10,000/= dakika 1,000 tigo tigo...dakika 70 mitandao mingine......so, jumla dakika 1,070 .....msg kibao.....10 Gb kwa siku 30 unafurahia maisha
kifurushi gani hiki?
 
Back
Top Bottom