tiGO-Pesa Wanatuchinjia Baharini

tiGO-Pesa Wanatuchinjia Baharini

1954tanu

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,038
Reaction score
487
Tigo sasa majanga matupu;usilogwe utume hela yako kwa tiGO-pesa utakatwa ujute. Kwa sasa tiGO-pesa wanakata takribani shilingi mia kwa kila elfu moja utoayo. Siku nne mfululizo nimeshuhudia tiGO pesa wakikata shilingi 750 kwa kila kiasi utoacho chini ya shilingi elfu 10. Hata ukitoa elfu 3 utakatwa sh.750.

Aidha, kumbuka kuwa hapo mwanzo MIC Tanzania (ndiyo Mobitel, Buzz na sasa tiGO) ilimilikiwa na serikali kwa 20% share. Kigogo mmoja toka ndani ya CCM na serikali yake akajiuzia hisa zote za serikali kwa dola laki 7 badala ya dola za kimarekani milion kadhaa.

Ufisadi wa makampuni haya hakika ni twanga kote kote.Wakati huo huo, tigo na voda hawamo katika makampuni yanayoongoza kuilipa kodi serikali.

NAOMBA kusaidiwa je! ni kweli Airtel money hakatwi mtu?
 
Back
Top Bottom