Tigo ndio nini mmetuletea??

Size yako acha ibaki tu. Napewa GB 4 kwa 2000 tena wiki nzima, 4000 dk 120 mitandao yote+1GB+unlimited sms vyote hivyo hadi siku zitakapoisha! Dk 60 mitandao yt kwa 500 wiki nzima, nk nying tu acha zile social pack. Size yako kwangu ibaki tu
Dk 60 mitandao yote kwa 500 wiki nzima yakweli hayo eti jamani
 
Nisharudi nyumbani muda mreeeeefu 500 MB777 kwa siku 7, GB10 kwa 1500 sasa mimi ni nani nisitupe line ya voda nirudi kwa mama yao TTCL, tena kitu 4G japo yakugongea kwa TIGO.
 
Dk 60 mitandao yote kwa 500 wiki nzima yakweli hayo eti jamani
Hiz offer zinatofautiana line na line na ndy mana mtoa mada katoa kilio chake..kwann hujajiuliza napata vp GB 4 tena kwa 2000 kwa wiki nzima! Mbn hujiuliz 4000 unapewa vp dk 120 mitandao yote +1GB + unlimited sms until you finish each of them!
 
Size yako acha ibaki tu. Napewa GB 4 kwa 2000 tena wiki nzima, 4000 dk 120 mitandao yote+1GB+unlimited sms vyote hivyo hadi siku zitakapoisha! Dk 60 mitandao yt kwa 500 wiki nzima, nk nying tu acha zile social pack. Size yako kwangu ibaki tu
weka vizuri.. 4000 ni nini? 4000 Tsh unapata dk 120? au nimeelewa sivyo!
 
Hapa bora ttcl kuna zil3 ofa zao za sabasaba na nanenane, yan kwa wale wazee wa data mambo ni 🔥 🔥
Salam senu kwa mpigo eti.
Ngoja niende kwenye hoja.
Hivi nyie tigo mmekuaje kutubalidikia hivi na ka-msemo kenu ka saizi yako??
Tulizoea unajiunga unapata bando la intanet,dakika na sms lukuki:
Mmekuja na huyu ndugu yenu anaeitwa saizi yako kaja kavuruga utaratibu woote.
Mimi binafsi NIMEWAHAMA.KWAHERINI
 
Mkuu mungu anakuona!
Mkuu ni kweli mana lime ina mwez natumia..hlf hiz ofa zinatofautiana line kwa line!
Mfn voda niliyokua natumia walinipa gb 1 kwa buku kweny ile part ya ofa yako then wakaitoa..baday ile ofa kaskazin wakanipa 1.5GB kwa 1500tsh baada ya mwaka wakaitoa na saiv ndy hiyo 2500tsh unapata 500mb per week na ile nyingn wanatoa GB 5 kwa 20000tsh per month kweny ofa yako hiyohyo..ndy nimehamia tgo saiv
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom