Tigo ndio nini mmetuletea??

Size yako acha ibaki tu. Napewa GB 4 kwa 2000 tena wiki nzima, 4000 dk 120 mitandao yote+1GB+unlimited sms vyote hivyo hadi siku zitakapoisha! Dk 60 mitandao yt kwa 500 wiki nzima, nk nying tu acha zile social pack. Size yako kwangu ibaki tu
Ni kweli GB 4, lkn 4g yao iko down sanaaaaaaaaaaa
 
Size yako acha ibaki tu. Napewa GB 4 kwa 2000 tena wiki nzima, 4000 dk 120 mitandao yote+1GB+unlimited sms vyote hivyo hadi siku zitakapoisha! Dk 60 mitandao yt kwa 500 wiki nzima, nk nying tu acha zile social pack. Size yako kwangu ibaki tu

Dah ,vifurushi hivo vinatofautiana laini na laini kwangu ,,GB 1 ni shilling 2000 kwa wiki,, dakika 50 kwa shilling 1000 masaa 24

Kwangu hata hakiviti wala kushawoshi kujiunga kwa kweli.
 
Size yako acha ibaki tu. Napewa GB 4 kwa 2000 tena wiki nzima, 4000 dk 120 mitandao yote+1GB+unlimited sms vyote hivyo hadi siku zitakapoisha! Dk 60 mitandao yt kwa 500 wiki nzima, nk nying tu acha zile social pack. Size yako kwangu ibaki tu
Wengine tunapunguziwa kila matumizi yakipanda
 
Salam senu kwa mpigo eti.
Ngoja niende kwenye hoja.
Hivi nyie tigo mmekuaje kutubalidikia hivi na ka-msemo kenu ka saizi yako??
Tulizoea unajiunga unapata bando la intanet,dakika na sms lukuki:
Mmekuja na huyu ndugu yenu anaeitwa saizi yako kaja kavuruga utaratibu woote.
Mimi binafsi NIMEWAHAMA.KWAHERINI
Hahahaa...... Karibu nyumbani kumenoga!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom