Tigo ndio nini mmetuletea??

tigo wanazingua sana tangu nisajili line internet inakula sana bora nihamie air tel
 
M nahisi hawa jamaa wamebanwa makusudi na wazee wa system ili watu wakimbilie ttcl, maana walianza kwa kulazimisha watumishi wameona bd,
ukiangalia kila mtandao asaiv wamepandisha gharama za vifurush halaf jamaa wao ndio wanashushaaa,

ni mawazo tuu
BTW: nimeku mabumunda na mtindio uliochacha jioni hii, na hapa pembeni kuna lijikambale lililochina nasubiri nilile jioni na midevu yake.
 
Hii Slogan yao ya SAIZI AYO..matokwo yake wengine wanapewa Saizi kubwa na wengine ndogo, saizi hazitutoshi jamani.
 
Mkuu ni kweli mana lime ina mwez natumia..hlf hiz ofa zinatofautiana line kwa line!
Mfn voda niliyokua natumia walinipa gb 1 kwa buku kweny ile part ya ofa yako then wakaitoa..baday ile ofa kaskazin wakanipa 1.5GB kwa 1500tsh baada ya mwaka wakaitoa na saiv ndy hiyo 2500tsh unapata 500mb per week na ile nyingn wanatoa GB 5 kwa 20000tsh per month kweny ofa yako hiyohyo..ndy nimehamia tgo saiv
Tsh 2500 mb 500 per week?
Ngoja tu nibaki eatel
 
Eti saizi yako!!!
Tatizo hiki kifurushi hakina usawa
Screenshot_20190730-193332_Phone.jpeg
 
Naona jinsi gani tunaibiwa kinyemela na hawa tigo bila hata kutujulisha eti "siizi yako" hivi kwanini mnatufanyia hivi jamani
 
Size yako acha ibaki tu. Napewa GB 4 kwa 2000 tena wiki nzima, 4000 dk 120 mitandao yote+1GB+unlimited sms vyote hivyo hadi siku zitakapoisha! Dk 60 mitandao yt kwa 500 wiki nzima, nk nying tu acha zile social pack. Size yako kwangu ibaki tu
HII laini ya hivi hua mmeanzaga itumia lini? mbona mimi mtumiaji wa huu mtandao tangu 2009 lakn sina hizi option? au kwakua nlikua naiweka mara 1 kwa mwezi?

kuna mtu ana hii laini namwambia anipe ananiringia kinoma anataka 50,000..mkuu kama yako unaweza itoa sadaka nipe mimi nina 30,000 cASH.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom