mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,410
- 722
yas pesa, pengine wengine watatamka yes pesa
💯💯Bora wangeita yas pesa/money
Ni aidha ajifunze kulitamka ama akose muamala wako, kipi rahisi kwake atachagua mwenyeweNawaza kama shangazi Paulina Wa kaliua ataweza kunambia nimtumie ela kwenye line ya mixx by yas nawaza sana
HeheNi aidha ajifunze kulitamka ama akose muamala wako, kipi rahisi kwake atachagua mwenyewe
😂😂😂🙌🙌🙌sio kuzoea, ni maana ya hilo jina, jaribu kufungua attachments
Mixx by "Yanga afungwe Sana"(Yanga Afungwe sana)
Yas ndio habari ya mjini...Hii si mara ya kwanza kwa watu wa masoko kufeli Tanzania, mnakumbuka simba walitoa jezi ziloandikwa SANDA, ambayo ni nguo wanayovaa maiti,
Katika marketing concept, jina lina nguvu sana, ndio Maana TOYOTA wanakua makini kwenye majina , GARI ZINAZOTUMIKA JAPAN ZINAKUA NA MAJINA TOFAUTI NA GARI ZA ULAYA, hata kama ni model moja, MFANO SPACIO Japan UK INAITWA VERSO, PRADO ULAYA INAITWA COLORADO, IST ULAYA INAITWA URBAN CRUISER
Ila Watu mnachekeshaMixx by "Yanga afungwe Sana"
NyashiEti Yas! Sijui ina maana Gani!
HahahaMixx by "Yanga afungwe Sana"
Hakuna kipya mwelekeo bado ni ule ule wa kimatusi matusi, sasa hiyo Yas si watu wataitransform into "Nyashi" hawa Tigo bhana sijui wana shida gani?!Ni mazoea tu....hata jina tigo lilipotambulishwa mara ya kwanza lilileta ukakasi kiasi cha wahuni kulihusisha na 'nnya'. Ila lilipozoeleka, mambo yakaendelea.
Yas= NyashiJina la Tigo ilihusishwa na mpalange, sijui Yas itahusishwa na nini😂😂😂
Halafu kuna Mixx by Yass, eti ndio tigo pesa??🤣🤣Eti Yas! Sijui ina maana Gani!
Nyash.... Bado ni Mpalange!!!!Jina la Tigo ilihusishwa na mpalange, sijui Yas itahusishwa na nini😂😂😂