tiGO, mlikosa jina lingine la kutumia?

tiGO, mlikosa jina lingine la kutumia?

silent lion

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
1,618
Reaction score
2,373
Hii si mara ya kwanza kwa watu wa masoko kufeli Tanzania, mnakumbuka simba walitoa jezi ziloandikwa SANDA, ambayo ni nguo wanayovaa maiti,

Katika marketing concept, jina lina nguvu sana, ndio Maana TOYOTA wanakua makini kwenye majina , GARI ZINAZOTUMIKA JAPAN ZINAKUA NA MAJINA TOFAUTI NA GARI ZA ULAYA, hata kama ni model moja, MFANO SPACIO Japan UK INAITWA VERSO, PRADO ULAYA INAITWA COLORADO, IST ULAYA INAITWA URBAN CRUISER
 
"Weka kwenye number yangu ya YAS"😂😂😂😂😂😂aise
 
Hii si mara ya kwanza kwa watu wa masoko kufeli Tanzania, mnakumbuka simba walitoa jezi ziloandikwa SANDA, ambayo ni nguo wanayovaa maiti,

Katika marketing concept, jina lina nguvu sana, ndio Maana TOYOTA wanakua makini kwenye majina , GARI ZINAZOTUMIKA JAPAN ZINAKUA NA MAJINA TOFAUTI NA GARI ZA ULAYA, hata kama ni model moja, MFANO SPACIO Japan UK INAITWA VERSO, PRADO ULAYA INAITWA COLORADO, IST ULAYA INAITWA URBAN CRUISER
Yaani mkuu upo hapo mbagala uwazidi stragetic wakubwa..
Utazoea..
 
Kinachokupa shida wewe hujazoea hilo jina jipya itatangazwa hadi utaizoea hata kutoka Mobitel kwenda Buzz ni Bomba nafikiri pia watu walishangaa hayo mabadiliko badae wakazoea
Jina halina mvuto kabisa ! Natamani nihame kabisa mtandao wao ni vile tu nimeziea na sina experience a huduma za mitandao mingine.
Mbaya zaidi kwenye huduma za kifedha badala ya kusema iwe yas pesa au yas money wanaleta mambo hatujayazoea eti mix by yas sijui vitu gani!! Mimi nitaendelea kusema nipe vocha ya tigo na natia Hela tigo pesa halafu hao watoa huduma watanielewa kuwa nimekusudia hiyo yas yao! Mambo mengine uhuni tu.
Pongezi kwa Vodacom tangu waanze kutoa huduma hawajawahi kubadili jina.
 
Hii si mara ya kwanza kwa watu wa masoko kufeli Tanzania, mnakumbuka simba walitoa jezi ziloandikwa SANDA, ambayo ni nguo wanayovaa maiti,

Katika marketing concept, jina lina nguvu sana, ndio Maana TOYOTA wanakua makini kwenye majina , GARI ZINAZOTUMIKA JAPAN ZINAKUA NA MAJINA TOFAUTI NA GARI ZA ULAYA, hata kama ni model moja, MFANO SPACIO Japan UK INAITWA VERSO, PRADO ULAYA INAITWA COLORADO, IST ULAYA INAITWA URBAN CRUISER
Tigo ni group companies,hivyo Kwa TZ wanaambiwa tu fanyeni haya lkn wao wa TZ sio wanaoleta haya mabadiliko
 
Jina halina mvuto kabisa ! Natamani nihame kabisa mtandao wao ni vile tu nimeziea na sina experience a huduma za mitandao mingine.
Mbaya zaidi kwenye huduma za kifedha badala ya kusema iwe yas pesa au yas money wanaleta mambo hatujayazoea eti mix by yas sijui vitu gani!! Mimi nitaendelea kusema nipe vocha ya tigo na natia Hela tigo pesa halafu hao watoa huduma watanielewa kuwa nimekusudia hiyo yas yao! Mambo mengine uhuni tu.
Pongezi kwa Vodacom tangu waanze kutoa huduma hawajawahi kubadili jina.
ila wamebadili rangi na nembo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom