tiGO, mlikosa jina lingine la kutumia?

tiGO, mlikosa jina lingine la kutumia?

Hii si mara ya kwanza kwa watu wa masoko kufeli Tanzania, mnakumbuka simba walitoa jezi ziloandikwa SANDA, ambayo ni nguo wanayovaa maiti,

Katika marketing concept, jina lina nguvu sana, ndio Maana TOYOTA wanakua makini kwenye majina , GARI ZINAZOTUMIKA JAPAN ZINAKUA NA MAJINA TOFAUTI NA GARI ZA ULAYA, hata kama ni model moja, MFANO SPACIO Japan UK INAITWA VERSO, PRADO ULAYA INAITWA COLORADO, IST ULAYA INAITWA URBAN CRUISER
Rostam aziz ana maana yake
 
Yaani mkuu upo hapo mbagala uwazidi stragetic wakubwa..
Utazoea..
acha dharau hao wakubwa ndo wanakuaga na mambo ya ovyo, kwa taarifa yako nina degree moja, waulize watu wa BCOM watakuambia umuhimu wa jina kwani tunasoma kwenye course ya MK100 , na hapa shida ni moja tu hio YAS NI msamiati wa watu wa upinde au LGBTQ unless na ww ni mmoja wao, inaonesha tigo hawakufanya market research
 
Ile hela nitumie kwenye namba yangu ya Mixx by Yas ! Sasa bibi yangu kule kibong'oto ataelewa kweli ?
 
acha dharau hao wakubwa ndo wanakuaga na mambo ya ovyo, kwa taarifa yako nina degree moja, waulize watu wa BCOM watakuambia umuhimu wa jina kwani tunasoma kwenye course ya MK100 , na hapa shida ni moja tu hio YAS NI msamiati wa watu wa upinde au LGBTQ unless na ww ni mmoja wao, inaonesha tigo hawakufanya market research
Degree sio cha kujivunia tena..
My first ilikuwa 2000.
Ulikuwa wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom