tiGO, mlikosa jina lingine la kutumia?

tiGO, mlikosa jina lingine la kutumia?

Hii si mara ya kwanza kwa watu wa masoko kufeli Tanzania, mnakumbuka simba walitoa jezi ziloandikwa SANDA, ambayo ni nguo wanayovaa maiti,

Katika marketing concept, jina lina nguvu sana, ndio Maana TOYOTA wanakua makini kwenye majina , GARI ZINAZOTUMIKA JAPAN ZINAKUA NA MAJINA TOFAUTI NA GARI ZA ULAYA, hata kama ni model moja, MFANO SPACIO Japan UK INAITWA VERSO, PRADO ULAYA INAITWA COLORADO, IST ULAYA INAITWA URBAN CRUISER
Ujinga ni kipaji, mara nyingi watu unao dhani uwezo wao wa kufikiri ni mzuri.cha ajabu huwa wanaboronga, yaani huaahirisha kufikiri kwa nafsi,
 
YAS haijasound vizuri.
Hapo kwenye Mixx by YAS sasa, kheri ingekuwa; YAS CASH, YAS WALLET, YAS TRANSFER, YAS PAY OUT.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom