Tigo internet mega boksi

danali

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
1,136
1,666
habari wana JF!
watumiaji wa tigo naomba kufahamu juu ya ropaganda hii nackia kuna mabando yakweli
 

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,690
625
Mkuu piga customer care watakwambia kila kitu.
Huna haja ya kuuliza hapa utapata majibu ambayo utashangaa.
 

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
13,616
9,163
Mkuu piga customer care watakwambia kila kitu.
Huna haja ya kuuliza hapa utapata majibu ambayo utashangaa.

Sasa unategemea customer care wamwambie nini? Yeye anataka uzoefu wa watumiaji, ni si propaganda za kibiashara.
 

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,266
9,654
ok tigo megabox ni nzuri kwa wale wasio download yani kama wewe wataka fungua page, skype calls ni surf kwa hilo iko fast. Kuhusu kustream video haifai maana mb unazopewa for downloading ni ndogo.
Kwa hiyo kama wewe ni mtu wa kuchat jf, fb kutembelea tovuti mbalimbali ni safi sana yani sana. Lakini kumbuka pia speed ya mtandao inategemea location mfano mimi nilipo iko poa.
But for downloading wajanja night ndo mwisho wa yote. Tnx to mr rostam's company
 

Shaffin Simbamwene

JF-Expert Member
Nov 16, 2008
2,069
1,303
utaratibu ni ivi unapojiunga na kifurushi cha internet megaboksi kwa mfano cha Week,unlimted inakuwa ni kwa ajili ya kuperuzi website kama vile facebook,tweeter na tovuti mbalimbali,lakini ni limited kwa upande wa downloading na streaming,Kwa mfano una kifurushi cha week chenye MB 200,Ikatokea ukazitumia zote kabla wiki haijaisha kwa kudownload na kustream,siku zinazobaki mpaka wiki iishe utakuwa unaendelea kutumia internet unlimited kwa kuperuzi tu.Mara nyingine unaweza kupokea meseji kwamba Ndugu Mteja umefikia kikomo cha kudownload na kustream sasa unaweza kutumia internet kwa kuperuzi kurasa mbalimbali.
 

Mr Kicheko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
789
213
eneo nililopo kuna 3g ya ukweli...bundle la mia mbili shida tupu.... Eti 1.689kb/sec
maeneo ya kwenu ni kimeo kaka sie tunakamua 400 kb/s na ikicharuka inafika hadi 600
SAFI.jpg

SAFI2.jpg
 

Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
4,149
2,125
Wengine huwa tunapokea 0.678 kb/se na kama ipo juu sana ndio unapata 6,12,18 na siku imebamba ndio unapata 20's kb/sec. Voda hii hiii!
 

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,266
9,654
duuh mimi voda nawakubari sana eneo nalokaa maana kila siku lazima nishushe movie au softwares kama gb 3 hadi sasa hivi nadownload movie naangalia nafuta maana pc imejaa
 

Mr Kicheko

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
789
213
duuh mimi voda nawakubari sana eneo nalokaa maana kila siku lazima nishushe movie au softwares kama gb 3 hadi sasa hivi nadownload movie naangalia nafuta maana pc imejaa
unatumia teknik gani mkubwa kukamua mchana wa jua kali au mambo ya Paje
 
Last edited by a moderator:

i pad3

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,518
377
duuh mimi voda nawakubari sana eneo nalokaa maana kila siku lazima nishushe movie au softwares kama gb 3 hadi sasa hivi nadownload movie naangalia nafuta maana pc imejaa

Unatumia bundle gani? Wajanja night offer ama?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom